Diamond Platnumz na vito vya thamani kwenye meno

samsun

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
7,386
5,962
Habari wakuu.
Nilikuwa nazunguuka mitandaoni nikajikuta nimetokea kwa Instagram ya DIAMOND na kukuta video ikimuonyesha kaweka vito vya thamani kwenye meno sasa mimi sijui kama ni dhahabu,almasi, shaba au fedha. Kwa wale wafatiliaji wa muziki mtajua nazungumzia nini ....... yaani ni kama alivyoweka Bird man kwenye meno yake.
Wakuu nyinyi mnaonaje hii ??
Instagram video by Chibu Evara • May 29, 2016 at 6:14am UTC
 
Nimeona pia katika baadhi ya
picha mitandaoni, ametoboa pua, to me loyality kwangu imeshuka hasa mwanaume kama yeye kutoboa pua.
 
Huyu dogo muda mwingine anapatwa na wazimu gani sijui... Tokea ametoboa pua siwezi hta kucheki picha yake insta nishamu unfollow kitambo, huu uzungu mwingi ukizidi anaaribu..
 
Unapopata tumia unapokosa jutia, starehe Na pesa ni kama mapacha ukizipata lazima uzitumie
 
Penda mziki wake Mkuu sio life style

Ndio maana nimesema nimemuunfollow insta sio Ku delete nyimbo zake...

Vipi team kiba naruhusiwa kuja kumpigia kura wizkid? hahahaha maana naona umekomaa sana kumpost wizkid kwenye page yako insta.. Diamond alikufanya nini???
 
Sasa Mkuu tuache unafiki Kati ya diamond na wizkid nani mkali
Au mahaba niuwe Mkuu haha
Mnabahati kale ni kajeuri hata kura hakaombi ila kazi ipo
 
Sasa Mkuu tuache unafiki Kati ya diamond na wizkid nani mkali
Au mahaba niuwe Mkuu haha
Mnabahati kale ni kajeuri hata kura hakaombi ila kazi ipo

Diamond mkali wewe, tatizo uteam wema na uteam kiba umekujaa, kiasi kwamba hta akiwekwa diamond na jiwe unapigia kura jiwe...

Angewekwa Kiba na Ayo sawa ungesema hata kufanana hawafanani mwingine ni A list artist Africa mwingine anachipukia...

Ila mwisho wa siku mafanikio ya Diamond yanammulikia njia hata kipenzi chako Alikiba, na wasanii wengine wote, sema tu huyu dogo anazingua mambo yake ikiwemo kutoboa pua KANIKERA KINOMA...
 
Dogo keshajikita fully kwenye fani... mwisho kabisaaaaa huwa wanatungua powderr na kupigana wenyewe kwa wenyewe... I hope hatafika huko

He should humble himself na kupunguza mbwembwe kwenye mwili, yuko vizuri bila hala mapambo ya ziada
 
Sasa Mkuu tuache unafiki Kati ya diamond na wizkid nani mkali
Au mahaba niuwe Mkuu haha
Mnabahati kale ni kajeuri hata kura hakaombi ila kazi ipo
Hawa ndio aina ya wasanii ambao DIAMOND angalau unaweza kuwashindanisha nao na hata wewe umelishtukia hilo HONGERA KWA KUSHTUKA. Nadhani tuzo ikija TZ utabadili kauli.
 
Hawa ndio aina ya wasanii ambao DIAMOND angalau unaweza kuwashindanisha nao na hata wewe umelishtukia hilo HONGERA KWA KUSHTUKA. Nadhani tuzo ikija TZ utabadili kauli.
Tuzo najua atakuja nayo maana anaoshindania nao hawapo serious hata kura hawaombi so lazima apate yy
 
Kura za kuomba na kusisitiza watu wapige mara kumi kumi sidhani km ni ushindi huo zaidi ya kudanganya system. Mwanamuziki inabidi ukae kimya na kusubiri mashabiki waamue.
Sijawahi ona p square au Jose Chameleone wakiomba kura. Km wamefanya ni mara chache sana.
 
Kwahiyo waandaaji walipoweka sehemu ya kupiga kura wanaidanganya system yao ?????
 
Back
Top Bottom