Nilikuwa sifahamu, kumbe jamaa ni mzaramo og.....[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Kweli domo
Jamaa kanifikrisha sana....kuna wadau wanamchukia hatar lakn mdau yeye anasepa tuu...hakuna kitu kibaya kama kupambana na kipaji cha mtu utaishia kuumia tu moyoni na kuwa na chuki....R.I.P KbondeIla jamaa yupo vizuri kimziki, nadhani na kipesa pia.
Hii mielimu sometimes miyeyusho, cheki eti nae Liquid ndio anatoka hivi hivi yaani!
sengelaoView attachment 1039997k
Diamond Platnumz A.K.A simba, anawasalimia...na kuwatakieni alhamisi njema