Hahahaaa, Uwiiiiii!![]()
heri kukaa kimya kucha ziendelee kuwepo, la sivyo zote zitanyofolewa...
Povu limekutoka ww usiejua unalofanya mjini utaishia kusjabikia mabwege km hao
kama tatizo nyota bonyeza reli
Kuandaa singo za kampeni, si unajua mtaalam Wa nyimbo hizo hayupo tena
Kukutana kwa marais mbona ni mambo ya kawaida...
Rais wa Tz na rais wa wasafi wakikutana hakuna nongwa...
Tuzo zipi?? Tuzo unazila?? Za kukata viuno zina tija gani?? Kwako na kwa familia yako?? Acha kuendekeza wehu
Povu limekutoka ww usiejua unalofanya mjini utaishia kusjabikia mabwege km hao
Kwa lipi?? Ndugu yangu vitu vyenye tija unavijua wewe???
unavijua wewe basi! ---- nini!
Unatumia Asilimia 10 tu ya Ubongo wako!!!!
Afu ye anajiona mjanja kiasi cha kuita wenzie wajinga! What a joke! Kama haujui muziki na si shabiki akae pembeni atupishe.
Kwa muziki Wa ndomo?? Mziki gani ule bora angerudi akauze dagaa kwao tandale mashabiki wake wengi ni low class
binti kiziwi, yaani unapoteza muda wako kwa huyo omari londo? Ukiangalia ambayo ilitaka kuwa post #54 , utakuta kuna post pale nili-delete! Hiyo post nilikuwa namwelewesha jambo huyo ndugu sasa baadae, nikaanza kuzisoma post zake zingine, sikuona cha maana anachoongea na hapo nikagundua kujaribu kumwelewesha mtu kama huyu ambae wala haelekei kama anelewa chochote ni kupoteza muda... nikaamua ku-delete ile post ili aendelee kubaki na ujinga wake!Muziki it's all about having mashabiki.! Fuatilia posts zake zote kama utaona ana-criticize kwa hoja.... Ebu be specific hapa unadis ninini? Shida yako ni Diamond aache muziki akauze dagaa au? Sijakuelewa unashida gani bado!
binti kiziwi, yaani unapoteza muda wako kwa huyo omari londo? Ukiangalia ambayo ilitaka kuwa post #54 , utakuta kuna post pale nili-delete! Hiyo post nilikuwa namwelewesha jambo huyo ndugu sasa baadae, nikaanza kuzisoma post zake zingine, sikuona cha maana anachoongea na hapo nikagundua kujaribu kumwelewesha mtu kama huyu ambae wala haelekei kama anelewa chochote ni kupoteza muda... nikaamua ku-delete ile post ili aendelee kubaki na ujinga wake!
hahahaahaaa.... bora hata kwenda kubembeleze mtoto wa jirani kuliko kujaribu kumwelewesha... sana sana hapo akirudi tena utamsikia "sasa ndo nini, mashabiki ndo nini? kwani hao mashabiki hawana kwao...!" Nchi ina majanga hii, we acha tu!!Let me quit lol!