Diamond Platnumz katuumbua wanasoka Bongo.

Diamond Platnumz katuumbua wanasoka Bongo.

KATIBUA

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
288
Reaction score
63
Umeonyesha mapenzi kuisaidia timu yako FRIENDS RANGERS na kumlipa mshahara Haruna Moshi Boban, Kweli Bongo soka alilipi
 
Timu yenyewe ni ya mtaani, Diamond kuisaidia kulipa nusu ya mshahara haileti conclusion kuwa mpira haulipi.
Mbona Mkude alikunja 80m alafu kawaida tu? Na vipi kuhusu ule mkwanja mrefu aliovuta Domayo kipindi anatua Azam?
 
huyo boban ---- tu,alikimbia ulaya kisa hakuna bangi

Sasa hivi analipwa 800,000 kwa mwezi, diamond anatoa 400,000, mfadhili ambaye hataki ajulikane anatoa 300,000 na mashabiki 100,000 sasa hao wafadhili wakigoma kumlipa sijui itakuaje? Nadhani ataondoka na laki moja tu kwa mwezi za mashabiki, nao hawa si wa kuwaamini sana maana huwa hawatabiriki.
 
Acheni ubishi Boban ni miongoni mwa mastaa wa soka Bongo sasa leo kuchangiwa malipo ya mshaara na msanii ni kichefuchefu
 
Back
Top Bottom