Diamond platnumz azidi kuvunja rekodi

Kidingi

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
1,872
1,832
Hizi ni salamu tu, za pongezi kwa huyu Raisi wa bongo flavour na muwakilishi wa Taifa la Tanzania, aliyetunukiwa kuwa NEMBO YA TAIFA mwaka huu mwanzoni, hakika anazidi kutuweka vifua mbele kwa juhudi anazozifanya na mafanikio yake..

Wiki hii amezidi kujiwekea rekodi zake kwa vitu viwili muhimu

(1) KUZIDI KUONGOZA CHART KUBWA ZA MUZIKI AFRIKA NZIMA
Huku akiendelea kuwapiga mieleka mahasimu wake Davido, wizkid ameendelea kuwakimbiza bila kuwaachia nafasi na kuweka rekodi zake kwa wimbo wa nana kuongoza MTV BASE mwezi mzimaaaa yaani wiki nne, na bado ipo nafasi ya kwanza, hii inamaana katika miezi 12 ya mwaka 2015 mwezi wa nane hadi wa tisa ni wa diamond na anazidi kutikisa vilivyoo!!!

Kwa upande wa wanamuziki wa Tanzania ambao wanaomba hata siku moja video zao zije zichezwe kituo kikubwa hiki barani Afrika kama bele9, hemed phd, alikiba, richi mavoko anawafundisha kuwa wakazane sio ije ichezwe tu bali iingie chart za Afrika na kuongoza kama alivyofanya Joh makini ambapo video yake ya Nusu nusu ilifanikiwa kuongoza kwa wiki moja..

(2) AZIDI KUJIZOLEA TUZO ZA KIMATAIFA
Leo Diamond platnumz aka Baba Tiffah amepokea tuzo zake mbili za kimataifa kutoka Nchini Marekani, Loss Angeles NAFCA kama msanii anaependwa zaidi barani Africa na wimbo unaopendwa zaidi barani africa 'Nana' kwa mwaka 2015 👏👏👏 akiwapiga mieleka mbali saana psquare, wizkid, tiwa savage, fally ipupa wakiwa baadhi tu ya waliokuwa wanashindanishwa

Kwa hili anazidi kujiwekea rekodi ya msanii mwenye tuzo nyingi zaidi za kimataifa East Africa.
 
none sence idioty

Mstari wa wanamuziki chipukizi wanaotakiwa kujifunza kwake najuwa umekugusa mkuu hahaha ila ni ukweli wakina mavoko king wako bele 9 wanatakiwa kuacha porojoporojo n kukaza, sio manenomaneno tu!!
 
Haijawahai na pengine itachukua miaka mingi sana kwa wasanii wa bongo kuivunja rekodi hii, NGOJA NIIRUDIE KWA SAUTI KUUUUUUUUBWAA ILI WALE WA MTAA WA PILI WAJUE HUYU SI WA KUMLINGANISHA NA KALE KALINZI KA TEMBO NI MSANII ANAYEPENDWA ZAIDI BARANI AFRIKA, NANA NI NYIMBO INAYOPENDWA ZAIDI BARANI AFRIKA TENA MBELE YA AKINA DAVIDO,P SQUARE,FALLY PUPA NA WIZ KID. DIAMOND hongera sana sana sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Hizi ni salamu tu, za pongezi kwa huyu Raisi wa bongo flavour na muwakilishi wa Taifa la Tanzania, aliyetunukiwa kuwa NEMBO YA TAIFA mwaka huu mwanzoni, hakika anazidi kutuweka vifua mbele kwa juhudi anazozifanya na mafanikio yake..

Wiki hii amezidi kujiwekea rekodi zake kwa vitu viwili muhimu

(1) KUZIDI KUONGOZA CHART KUBWA ZA MUZIKI AFRIKA NZIMA
Huku akiendelea kuwapiga mieleka mahasimu wake Davido, wizkid ameendelea kuwakimbiza bila kuwaachia nafasi na kuweka rekodi zake kwa wimbo wa nana kuongoza MTV BASE mwezi mzimaaaa yaani wiki nne, na bado ipo nafasi ya kwanza, hii inamaana katika miezi 12 ya mwaka 2015 mwezi wa nane hadi wa tisa ni wa diamond na anazidi kutikisa vilivyoo!!!

Kwa upande wa wanamuziki wa Tanzania ambao wanaomba hata siku moja video zao zije zichezwe kituo kikubwa hiki barani Afrika kama bele9, hemed phd, alikiba, richi mavoko anawafundisha kuwa wakazane sio ije ichezwe tu bali iingie chart za Afrika na kuongoza kama alivyofanya Joh makini ambapo video yake ya Nusu nusu ilifanikiwa kuongoza kwa wiki moja..

(2) AZIDI KUJIZOLEA TUZO ZA KIMATAIFA
Leo Diamond platnumz aka Baba Tiffah amepokea tuzo zake mbili za kimataifa kutoka Nchini Marekani, Loss Angeles NAFCA kama msanii anaependwa zaidi barani Africa na wimbo unaopendwa zaidi barani africa 'Nana' kwa mwaka 2015 👏👏👏 akiwapiga mieleka mbali saana psquare, wizkid, tiwa savage, fally ipupa wakiwa baadhi tu ya waliokuwa wanashindanishwa

Kwa hili anazidi kujiwekea rekodi ya msanii mwenye tuzo nyingi zaidi za kimataifa East Africa.

Nonshensh... atakuwa shemeji yako.
 
ila inasikitisha sana kwamba hakuna msanii mbadala wa kiume toka tz anaeshindana na D kwenye soko la kimataifa mfano Nigeria ni wizkid na davido.... ila uzuri ni kwamba hapa nyumbani kuna wasanii mbadala wa D kama belle 9 na ally kiba
 
wela wela Wasafi.com .wazee watupigi kura hapo VP?na tusihau kumpigia dmond kura za mbio again and again kwenye tuzo za base.mtvema.com/diamond platnumz.
 
Hongera zake Diamond kwa kutuwakilisha vema,

Kama wewe ni Mtanzania na kwa makusudi kabisa hutaki kutambua na kujivunia mafaniko ya Diamond, jichunguze kama uko sasawa
 
TUZO TANO(5)

(1) AYCA- Africa youth choice
Kwa kupost picha ya diamond (insta, facebook, au twitter) na kuandika hivi umepiga kura

@ayca_africa #AfricaYouthChoiceAward #AYCA2015
diamondplatnumz
✔Artist of the year
✔Best male artist

Vote pia kwenye website link
NOMINEES | AFRICA YOUTH CHOICE AWARD | I AM MADE IN AFRICA

==
(2) AEA - African entertainment awards USA Link
https://www.surveymonkey.com/s/VOTEAEA2015
Categories za diamond ni
✔Best male artist
✔Best male single
Piga mara nyingi uwezavyo

==
(3) AFRIMA - All africa music awards. Link
Polls
Diamond yupo categories 4
✔Best male artist east africa
✔Artist of the year
✔Song of the year
✔Best African Artist in contemporary

==
(4) AFRIMMA - Africa music magazine awards. Link
Nominees 2015 |
Categories 7
✔Best male east
✔Artist of the year
✔Song of the year
✔Best collaboration
✔Afrimma video of the year
✔best dance video
✔Afrimma inspiration song (àlive)
Piga mara nyingi uwezavyo

==
(5) MTV EMA - Mtv europe music awards. Link
base.mtvema.com/vote
Category ya
✔Best african act
Piga mara nyingi uewezavyo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom