Diamond Platnumz aweka rekodi YouTube barani Afrika

mimi sijawahi kuona msanii aliye serious akifurahia ama kushangilia viewers kweny eyoutube.Huku ni danganya toto kabisa kwanini anakataa kujisubscribe kwenye zile channel za mbele? Huku youtube si ata DAB ana viewers 10M
Hizo channels za mbele ni zipi? Ina maana YouTube ni ya Tanzania?!

All in all, huwezi fahamu umuhimu wa subscribers hadi kwanza uwe msanii huku juu yako kuna akina Juliana Shonza!!

Na hata kama hakuna akina Shonza, subscribers wanakuhakikishia possible international audience!!

Itoshe tu kusema kwamba, duniani watu wanalipa pesa to social media markers ili ku-drive subscribers traffic kwenye YouTube channels... kwahiyo don't underestimate the power of subscribers mbele za watu!
 
kwa jinsi unavyopigania hii channel ya youtube kumpa support Daimond kuna uwezekano wewe ndio Diamond mwenyewe ila unatumia fake ID
 
Back
Top Bottom