Diamond Platnumz aweka rekodi YouTube barani Afrika

Diamond Platnumz aweka rekodi YouTube barani Afrika

Kwa nchi za Sub Saharan diamond ni msani wa kwanza kufikisha Subscribers milion moja,kwa maelezo zaidi katembelee youtube channel ya simulizi na Sauti .
Map_-_Africa_LRG.jpg

Hizo zenye rangi ya udongo ndio nchi za sub saharan
 
mwanamuziki gani tanzania au afrika.mashariki ambaye ana subscribers milioni moja..??! je kati ya wizkid/davido/tiwa savage,,japo wako vevo nani ana subscribers milioni 1??
kwani kuvunja rekodi ni.lazima uwe namba moja?! au kiswahili.hujakielewa hapo

fally ipupa kaanza muziki 2009, ana subscribers laki 5 na 90 kwa sasa, alikiba kaanza muziki 2006 na ana subcribers laki 1 na 57 hadi sasa katika you tube yake ya kawaida ila vevo ana elfu 97,

diamond kaanza music 2009 sawa na fally ipupa lakin ana subscribers milioni 1 sasa kwa you tube account yake, na vevo ana 98k

wizkid kaanza music 2001, you tube yake ya kawaida ana subscribers laki 1, na ya vevo ana laki 3...

davido ameanza music 2011, you tube account yake ya kawaida ana subscribers elfu 7, ila.ya VEVO ina laki 5...

sasa see the difference!!!
Kwahiyo kirahisi ni kwamba amevunja rekodi Tanzania sio Afrika... hapo nimekuelewa vizuri

Vinginevyo sielewi inaposemwa kavunja rekodi Afrika wakati kawa mtu wa nane...
 
Hii ngoma ya world cup"colours" mbona yupo Derulo peke yake
mkuu, diamond platnumz kapata major deal na fifa world cup 2018 ambayo itafanyika urusi ambapo kwenye deal hilo "watery" diamond ata perform kwenye sherehe za ufunguzi tarehe 14 Juni ambapo pembeni atasimama kijana Derulo au Jason Derulo mzee wa "Swalla" ambaye ndie mhusika mkuu aliye pewa dhamana ya ku create world cup anthem ambapo pia watakuepo na wasanii top wa afrika wakiwasindikiza kukamilisha tukio hilo adhimu duniani.
 
Back
Top Bottom