Kuwa mkata viuno wa jiwe dikteta maguKweli ila natamani kujua anachokosea tumuhukumu kwa haki
Mimi sio masikini .Na wewe ni masikini?
Yaani huyo jamaa hua anajiona bonge la great thinker kumbe hakuna kitu,hua ana kimbelembele sana.Hakujui, humjui, mada inaongelea lingine yeye analeta lingine
Ok sawaKuhusu maisha yangu binafsi uwa sipendi kushauriwa chochote bila kuwa na uhitaji wa ushari sababu i know who I'm.
Ila ahsante bro
Mashauzi tu wakati kuimba hajui...me ndio kinaniboaNaomba kujua nini kibaya diamond anakosea tofauti na wasanii wengine?
Nini afanye ili iwe sawa naonaga watu wanamshambulia ila sijawahi sikia mtu yeyote akisema makosa anayofanya tofauti na watu wengine
Chuki zenu tuu hakuna star ambaye ana mambo yake ya ustar.ukishakuwa star kick ni kitu cha kawaida.alafu kingine hela lazima ikutofautishe mtu amenunua kigari chake imekuwa maneno angenunua kiba mngekuja kumpongeza acheni wavu watoto wakike.Uyo jamaa yenu hakuna anaemchukia eti kwa sababu amefanikiwa Kama mnavyozungumza kwani mafanikio yake sisi yanatuhusu nini mzee hata awe na hela Kama Jeff benzos atakua yeye Ila anachukiwa kwa sababu ana kelele za kijinga ,misifa ,ushamba mwingi,
Haaaaa Haaaaa 😂, hujakosea mkuu, kuna vichwa maji humu wanamuona bonge la mwanaume wao..Yaani huyo jamaa hua anajiona bonge la great thinker kumbe hakuna kitu,hua ana kimbelembele sana.
Yaani huyo jamaa hua anajiona bonge la great thinker kumbe hakuna kitu,hua ana kimbelembele sana.
Ok sawa
“Hamna msanii yeyote anayenizidi rizki”.Sifa kama zipi na mdomo kivipi ebu elezea?
Awe kama AY, Mwana FA,Proffessor Jay vile...Mziki mzuri tu na biashara zake binafsi bila makelele.Anatakiwa awe vipi ili asichukiwe?
Hivi uligombana nini na mshana?Kwani amekuambia ameyumba kimaisha? We mzee ni aje!!! 😳
Kwa hiyo akitaka kutoa nyimbo aombe ruhusa kwa wanamuziki wengine?Mdomo(Sio umbile).. kuongea ongea vijembe... Uswahili mwingi.. kujitapa.. kuchukia Watanzania wenzie(wasanii)
Nitoe mfano mdogo.. last week King Kiba kaachia Ndombolo.. this week kaachia Salute... Mond kaona hapana, haiwezekani watawale anga la mziki ngoja na yeye atoe kamata!
Sasa haya yote na Mambo mengine yasiyoelezeke yanafanya watu tuwe na roho ya korosho juu yake!!
Hatuchukii mziki wake.. He is super talented.. ila ule UTANDALE unamgharimu!!
Alikuwa mchepuko wake akapigwa chini baada ya Mshana kuokoka na kuacha uchawi.Hivi uligombana nini na mshana?
Haina ubishi kuwa tumepitia mfumo kandamizi, mfumo onevu na katili kuliko mifumo yote tangu nchi hii iitwe Tanzania. Kipindi hiki wenye uelewa wasio wapiga pambio waloumizwa sana- UTAKATISHAJI FEDHA, UHUJUMU UCHUMI, UCHOCHEZI, ni baadhi ya makosa yaliyokuwa famous sana kwa wakosoaji wa serikali.
Hii ilikuwa wazi sana.
Kioo cha jamii kilipaswa kureflect vyema kipindi hiki ili kuwaonya wanaopotoka. Walakini yeye alichagua upande wa dhuluma, walioumia wanamnanga sasa, huwezi kuwaambia waache. Sanasana wewe kaa kimya kama yeye alivyokaa kimya kwenye maumivi ya wengine.
Inawezekana aise. Maana nikama ipo chuki ndani yakeAlikuwa mchepuko wake akapigwa chini baada ya Mshana kuokoka na kuacha uchawi.