ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Diamond kafika Marekani katika show yake itakayo fanyika Las Vegas,mara tu baada ya kufika Marekani alikutana na Kanye West a.k.a kanye Magharibi
Huu ni mwanzo mzuri kwa Diamond kwani ikumbukwe Diamond aliahidi mwaka huu kuufikisha mziki wetu Amerika means kufanya Collabo na wasanii wa Amerika
Sina uhakika kama Diamond kakutana Na kanye ghafla tuu hapana nahisi ni kitu kilocho kuwa kimepangwa,hongera Diamond mtafutaji!