Diamond Platinumz worldtour schedule

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,628
1,283
Hii hapa ratiba ya mtoto wa Tandale
c2125e1280b36cea03d30c9d55ba0aa4.jpg
 
Na hii pia mnataka tujadili, mheshimiwa mwenyekiti kuhusu utaratibu....!
 
Kila la kheri Baba Tiffah aka Mume wa Zari aka Simba aka Chibu.
Tutakusubiria mitaani kwetu Tandale.
 
Diamond angekua na website yake ingekua poa sana i.e. www.wcb.com email yake ingekua diamondplutnunz@wcb.com, babutale@wcb.com sallamsharraf@wcb.com ingekua super professional details zake zoote picha za show zake zote safari yake ya msoto yote ingekua humo bookings or whatever ingekua safi sana...

Nadhani ni suala la muda.. Kwasababu ofisi za WCB bado zipo kwenye mautundu nadhani mambo yakikaa sawa watahitaji kutumia zaidi ya hizi insta, lazima wafungue web yao..
 
Mm mzee wako nakusii fanya kazi uko ughaibuni acha kufatilia mambo ya kizembe mdogo wangu jitaidi utafute pesa

Hivi ulienda kliniki leo?

Idrisa alikusindikiza au ulienda na mashosti wako?

Madam Wema bana.....pole lakini....ingawa mimba si ugonjwa.
 
Ndio uzuri wa kuwa wa kimataifa usubirii shoo za huruma kutoka fiesta, au pale kwa Uhuru.
 
Back
Top Bottom