Diamond Platinumz vs Ali Kiba, nani mkali?

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
1,714
442
Ipo wazi kwamba these guys ndo wanaorun bongo kwa sasa kwa 'mijisong' yao matata ya malovee,ambapo kila dude linaloachiwa hewani kwao ni 'hit'.wote wanamashabiki lukuki bongo na Africa mashariki kwa ujumla,hicho ndo kimenisukuma kutaka kujua nani zaid ya mwenzake kati ya hawa.

¤DIAMOND>
Hit songs from 2011-Moyo wangu,Mawazo,Nimpende nani,collabo vs linex(ntaificha wapi sura yangu),etc.

¤ALIKIBA>
Hit songs from 2011-Mapenzi yanarun dunia,Dushelele,Single boy,collabo vs omy dimpoz(nai nai),etc.

##NAOMBA KURA YAKO...

UPDATES
=============
 
Hawafai hawa wanyama!!!halafu hawana vitambi yaani hapo ndo wanapowameza wanyama wengine!!!!much respect kwa kiba na jembe langu la ukweli platinumz!!
 
kwa haraka-haraka ukimsikiliza Diamond unaweza ukasema he is the best from heaven..sikatai he is good!!

nyimbo za Diamond ziko too delicate na hazitofautiani sana...na ni rahisi kuzichoka mapema!!

Ally Kiba mwanzoni niliku anamuona tu wa kawaida...ila dogo ni jembe na ana safari ndefu sana y akimuziki..graf yake inapanda...
diamond ameanza kulipua..na trust me akitoa nyimbo 3 mbele zenye mandhari kama ya mawazo/nimpende nani..hatafika mbali!!!
 
Hawafai hawa wanyama!!!halafu hawana vitambi yaani hapo ndo wanapowameza wanyama wengine!!!!much respect kwa kiba na jembe langu la ukweli platinumz!!
umenena vyema Muuza Sura...jamaa wote wakali aisee japo tunasikia mitaani hawaelewani sijui kama kuna ukweli kwa hili au habari za mitaa!!!
 
Hawafai hawa wanyama!!!halafu hawana vitambi yaani hapo ndo wanapowameza wanyama wengine!!!!much respect kwa kiba na jembe langu la ukweli platinumz!!

Ha haaa vitambi tena, unautani na watu wewe ngoja peter msechu na mpoki na wenzie wakuskie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…