asee raia,I would like to say that hii thread ikooutdated coz kama,chibu mwenyewe kasema alikuwa afanye collabo na ludacris,lakini hakufanikisha nw iko na flavour,xo me coni haja ya kuendelea kulike,kureply kwa thread kama hii,,ko napenda kuchukua nafasi hii kusema kwamba Hii kamba imefungwa rasmi..!!aksantheen..?!!
Upigaji kura tuzo za Nigerian Entertainment Awards umefunguliwa rasmi hii leo..
Diamond anawania kipingele cha best African artist (ambacho ni mahususi kwa wasanii nje ya nigeria) .. Hivo basi tupige kura huku ni rahisi kinoma, unapiga kura mara moja tu!! kipengele chake ni cha kwanza, una click kwenye tick na ikiwa ya kijani inamaana kura imepokelewa (hakikisha kutumia browser)
link hii
⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.