Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,279
- 7,485
Najaribu kulinganisha msiba wa huyu boss wa IPP Mzee Mengi, na ule msiba wa boss wa clouds media marehemu Ruge nashangaa huku wasanii hawana nafasi kubwa kama kipindi kile ambapo bwana Diamond alishutumiwa sana na mpaka akaenda msibani na mabaunsa.... HUKU NIMEMUONA MRISHO MPOTO TU.