Diamond na Rick Rosse ngoma imeshakamilika...

Ili iweje kwa mfano?? [emoji35] [emoji35]

Jana tu nilikuwa central kuchukua kibali cha kumiliki silaha! Sitaki lawama mimi, shuri yenu [emoji53]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] taratibu babe utakuja kumwaga mashemeji zako ubongo [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Huyo ni kaka yangu kabisa.Huoni kaniita Hommie?
Au ndio tuseme from now on wewe ndiye utakayekuwa ukisimamia show za b/day party kaka zangu watulie?[emoji39]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Basi kaka endelea kusimamia kitengo chako cha party!

Mimi nitakuja na mishumaa.. Sorry shem lake
 
Amna kitu hapo kama yeye shujaa kama anavyojitangaza tunataka kuona collabo hottest artists sio huyo alietamba mwaka 47
 
Du!
Kumchukia huyu nikujipunguzia siku zakuishi
 
ya neyo imeishia wapi kwani?
Unaweza kuingia iTunes na kuinunua right now!

Video imekamilika anytime tunaidondosha.. Release tumepeleka mbele kidogo baada ya tour ya UK na Ne-Yo kusogezwa mbele.. But stay tuned
 
Yani Mond kwa kubeba mizoga hatari sasa Hiyo collabo kama IPO lakini nayo ya kujitangazia Ni Sawa dunia ya Leo ufanye collabo na snoop Doggy ujisifie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ya neyo imeishia wapi kwani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Eddy nimecheka sana.

Hii ya Ne-Yo imeshabuma tayari.
WCB wanahangaika kuufanyia promo kinoma,yenyewe leo bae kanitumia [emoji85] [emoji85] [emoji85]
iTunes haununuliki basi imebidi wanunue wao wausambaze
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Basi kaka endelea kusimamia kitengo chako cha party!

Mimi nitakuja na mishumaa.. Sorry shem lake

[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji379]
Njoo na hiyo mishumaa uone.
 
Huu ni upuuzi sana yani msanii mkubwa kama diamond anafanya deception ili tu ajaze watu kwa show,kulikuwa hakuna haja ya kutumia nguvu nyingi kiasi hcho,mbona ana nyimbo nyingi na ni hit song kinachomfanya awe muoga hadi anaanza kutuambia cjui collabo na rick Ross wap????? Aache huu upuuzi haumsaidii,Aache maneno maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…