Diamond na Pete ya uchumba kwa Wema

Unajua Demu akishatembea na wanaume wengi anakuwa fundi balaa nikimaanisha demu akishacheza mechi nyingi ufundi unaongezeka...Kwa mtaji huo ndio maana ALMASI kakolea kinyama.....ILA NAMSIFU SANA WEMA SEPETU......yaani mpaka sasa WEMA SEPETU HAJAWAHI TEMBEA NA MWANAUME YEYOTE YULE.....NA MSIFU KWA KULINDA bikira yake aliyozaliwa nayo. Na mtu anayekwenda kuifungua ni Diamond baada kuoana Hongera Diamond Mzee wa Mbagala kwa kuopoa Mlupo BIKIRA.
 
Mungu anibariki nilisha mpima huyo wema nyuma na mbele ni wakawaida sana! Ila aongeze bidii mapenzi hayawezi kwenye 6x6!
 
wac wac wangu 2 ni kama Lundega nae amexain KADAFTARI KA WAPIGA KURA ka hyo gash, bac 2jue mbagala 2meshapoteza msanii, xo 2anze mchakato mapeema wa kumtafuta chipukiz kutoka pande hzo....
 
Uzuri wa wema hafichi mapenzi kwa mtu anayempenda, Kwa nini watu hamtaki kuongelea mazuri ya wema, kuna demu hapa bongo ambaye hajawahi kuwa na mahusiano na zaidi ya wanaume watatu katika miaka mitatu.
 
Uzuri wa wema hafichi mapenzi kwa mtu anayempenda, Kwa nini watu hamtaki kuongelea mazuri ya wema, kuna demu hapa bongo ambaye hajawahi kuwa na mahusiano na zaidi ya wanaume watatu katika miaka mitatu.

wapo sana gogozito we sifu tu kama unasifu, usianze kuhalalisha hisia zako!!!!


Ok, so bak to wema n diamond. . . . .me nawapenda sanaa, hongera zao!! Just go harrd guyz. . .nd i hope you last forever! (wema usiniangushe lolol)
 
bahati ya mwenzio usilale mlango wazi, l wish u all the best.
Wema, aache ukurumbembe, kuchumbiwa ni jambo la heri. Dada zake wengi wametamani kuipata chance hiyo lakini haijawatokea, she is lucky.
Sasa ajifunze kusali na kumtegemea Mungu, cheap popularity aachane nazo kabisa.

Asanteeeeeeeeee
 
Dogo aanze kuandika wimbo tu mapemaa..............hizo kauli zote atazifuta, kuna mapede yametulia tu kule k'ndoni yakimwitaji huyo anytime huwa anaenda apewa mzigo wake anasepa, mara nyingine yanamtanguliza b'moyo wala hayataki kumwingilia almasi.....
 
attachment.php



bora ahalalishiwe, atafanya haya mambo ya kipuuzi mpaka lini. unajifanya hujiskii kula wakati una njaa na unabaki kuonja onja... go diamond go...
 
Uzuri wa wema hafichi mapenzi kwa mtu anayempenda, Kwa nini watu hamtaki kuongelea mazuri ya wema, kuna demu hapa bongo ambaye hajawahi kuwa na mahusiano na zaidi ya wanaume watatu katika miaka mitatu.


gogojepesi wahehe wanasema ''ipo uloonzile'' yaani umeongea. wanaojifanya kumponda wema mi siwaelewi walitaka wachumbiwe wao ama? mwacheni aolewe bana ili akae kihalali kuliko kuranda randa mtaani.
 
wapi GLOBAL PUBLISHER WEB SITE? HAIKO KWENYE MTANDAO WAO KULIKON. TUMEMISS MENGI SANA!
 
Wema ana watoto wangapi?umri wa wema na diamond ikoje?anayejua amwage data hapa maana naona diamond bado ni mtoto anabakwa tuu na wema

Ni kweli hawa hawana muda mrefu kwa mtazamo wa kawaida tu. Wema anaonekana ameshakomaa sana, Diamond kijana mdogo sana, si chini ya 5 yrs tofauti.
 
Back
Top Bottom