Diamond mwingi wa fadhila

Brown ad

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
345
204
Msanii diamond ametoa shukran za dhati kuwa mwanadada wema sepetu kamsaidia sana kumfundisha kiingereza

souce:xxxl clouds fm
 
Wema anastahili pongezi...wamesema eti hata Kanumba naye alifundishwa naye... yaelekea ni ticha mzuri.
 
Sikujua kama Wema anafani ya uticha, si bora aichukue as serious job, kulikoni
 
Back
Top Bottom