PostGE2025 Diamond: Mungu azilaze pema roho za waliotangulia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Kutoka kwenye Ukurasa wa Mwanamuziki Diamond Platnumz ameandika haya

"MWENYEZI MUNGU NDIO MPANGA WA YOTE...NA HAPAJATOKEA JAMBO PASIPO YEYE KUTAKA, NA KILA JAMBO HUTOKEA KWA SABABU...INSHAALLAH NA KWENYE HILI MWENYEZI MUNGU ATUJAALIE SABABU YENYE BARAKA KUBWA KWA TAIFA LETU... ATUJAALIE AMANI ZAIDI YA TULIYOKUA NAYO MWANZO, ATUJAALIE UPENDO ZAIDI, UMOJA ZAIDI, MSHIKAMANO, KUPENDANA, MAENDELEO NA AZILAZE ROHO ZA WALIOTANGULIA MAHALA PEMA PEPONI AMIN!,“
1762258550175.png
 
Hawa ni wanafiki tu, wangesimama upande wa wananchi kabla. Wakati raia wanapigia kelele masuala ya utekaji huyu si ndo alisema waache kulalamika wafanye kazi
 
Kutoka kwenye Ukurasa wa Mwanamuziki Diamond Platnumz ameandika haya

"MWENYEZI MUNGU NDIO MPANGA WA YOTE...NA HAPAJATOKEA JAMBO PASIPO YEYE KUTAKA, NA KILA JAMBO HUTOKEA KWA SABABU...INSHAALLAH NA KWENYE HILI MWENYEZI MUNGU ATUJAALIE SABABU YENYE BARAKA KUBWA KWA TAIFA LETU... ATUJAALIE AMANI ZAIDI YA TULIYOKUA NAYO MWANZO, ATUJAALIE UPENDO ZAIDI, UMOJA ZAIDI, MSHIKAMANO, KUPENDANA, MAENDELEO NA AZILAZE ROHO ZA WALIOTANGULIA MAHALA PEMA PEPONI AMIN!,“
View attachment 3497163
Ndio aandike kwa herufi kubwa??
 
Back
Top Bottom