mzee wa malinyi
Member
- Jun 15, 2014
- 8
- 0
nimesikitika sana video ya ukweli halafu wimbo wa kipuuzi
Kuna KaTrend Kanaendelea.....Vanessa Mdee Na Hawajui,Diamond Na Hii Na Shaa Alishatangulia Na Sugua Gaga.......I'm Not A Fan Of Mchiriku Au Mnanda BUT On A Serious Note,This Was What We Miss From Our Industry.........Owning Up Every Genre In Our Culture.....
Alie andika script ya hii video ni mkali sana. Namkubali hata kama sijui ni nani.
Hapa kimataifa wataangalia zaidi quality ya Video ila Audio yake si nzuri kwa wastaarabu, ukiipeleka mbagala mbona wanakula zakutosha sana
nyiee mnavunga wazungu kumbe mmnaishi tandale jivunieni id yenu
Kajitahidi sana kwenye video wimbo ndo cjauelewa kabisa
nimesikitika sana video ya ukweli halafu wimbo wa kipuuzi
Kwan nyimbo zote mnazozisikiliza huwaga mnazielewa??mbna zngine za kihindi na kizuru bt mnaskiliza na kucheza!!!!!
Cjaelewa cjui beat limezidi maneno yanayotamkwa za kihindi hata sisikilizagi kitu nisichoelewa wamemeza sana maneno
nijuacho mim Matola n shabk mkubwa wa Diamond humu JF lakn kama na yeye kasema Mdogomdogo n wimbo wa kawaida bas najirdhsha kuwa ni wimbo wa kawaida kweli..
Jamaa kabugi,,hajafkia haja levo za FEROOZ-NDEGE MTINI..
ingawaje n bonge la video ila hata demu wangu kasema Diamond kaanza kufulia.
Aiseee Daimond hebu punguza kidogo utawaua watu, kuna mijitu humu ishaanza kutoa povu na mwaka huu lazima walazwe ICU kwa preshaa...hahahaha
Kumchukia Diamond ni sawa na kupaka rangi nzuri upepo.
Naona povu linawatoka tu leo, jana mlisema Diamond aimbe mziki wa asili asicopy Nigeria sasa leo kafanya hivyo mnaanza kutapatapa..hahahaha
I am a big big fan wa diamond, so kabla hamjaanza kunivamia ni make that clear.
Ukiangalia hii video ya mdogo mdogo kama ukitafakari utakuja gundua ni idea ya mwimbo wa AYE wa Davido.why?
Kwenye Aye davido kampenda mke wa mfalme huku diamond mtoto wa mfalme, zote zimetumia midundo ya asili, wameshoot in an african traditional environment.Japo diamond ka diversify kwa kuweka wazungu.Nadhani dangote baada ya kuona aye in mafanikio makubwa na ukiangalia ni miondoko ya kiafrica akaona isiwe tabu na yeye akaintroduce kigodoro
music wa asili wenyewe ni tatu nane, inafrica band, che mundugwao, kharid tongolanga na saida kaloli. wacha kujitowa ufahamu.
hii inanikumbusha hadithi ya mfalme aliyekuwa uchi lakini aliambiwa amependeza kwa sababu ya kupenda misifa hakujuwa yule tailoring hakumpima nguo yoyote bali alimwacha atembee uchi.