Hajaliepuka sana maana mange atalianzisha mpaka akome....kanikera kumtetea konda vibaya heri angekaa kimyahaaaaaa mbavu zangu mambo.. Ivan Kesho angekuepo kwa wanafamilia ya ufufuo na uzima
Hajaliepuka sana maana mange atalianzisha mpaka akome....kanikera kumtetea konda vibaya heri angekaa kimyahaaaaaa mbavu zangu mambo.. Ivan Kesho angekuepo kwa wanafamilia ya ufufuo na uzima
Minlitaka kumuomba baba mchugaji Gwajima amgeuze serengeti ya baridi nimywe na nyama choma
tena hiyo nyama iwe kiti motoNdomo amesurrender shenzi kabisaKanikwazaa!
Angemuacha tu huyo mbwa kichaa kesho abweke tu
Kelele zake za kuongeza idadi ya sadaka tumezizoea
Ndomo amesurrender shenzi kabisa
Diamond ametumika kuimba fitina ambayo matokeo yake amejipatupa kwenye dimbwi la kinyesi kujaribu kumuokoa Bashite alafu wamezama wote.Watu wanakubali kutumika na Bashite mpaka vichwa vyao vinajaa ff.
yani kesho mzee baba atanogesha zaidi akisambaza vyeti vya DNA ya tiffa kanisa zima!

na mzee Abdul aletwe kanisani tumchangie harambee akatibiwe miguu yake India.Kifasihi amekosea.Sioni kosa la diamond
Hahaha umepanic ewe Daudi uliyezaliwa mwaka 1990.Picha feki... Jina feki... Kama wewe mwanamke wa shoka weka verified account uongee hayo unayosema... Au kesho nenda Ubungo kanisani ukatapike hizo mbege zako kama hatujakujua in out na michepuko yako yote
Id fake, who are you?Simuhofu wala kumuogopa!