Diamond kaleta sifa Tanzania

ntamwoneaje wivu mtu ambae hana mchango kwenye jamii yangu ndugu
Acha wivu wewe kwani uyo AY
wao hawamjui c wamemuona hajakidhi vigezo n by the way izo ngoma za ki
international ndo zina alama gani.mnyonge mnyongeni lkn haki yake
mpeni!! kizuri hakijitangazi bali kinaonekane chenyewe na watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…