hv jamaa alirudishiwa passport yake?Chameleone anashindwa kumheshimu shemeji yake?
diamond haingizi maguu kwa chameleoneAhahaa kwa mara ya kwanza leo nimejikuta nashindwa kuchagua nani mkali zaidi kati ya hawa wanamuziki
Sitaki kuulizwa kwa nini.
Kivip mkuu...diamond haingizi maguu kwa chameleone
Ni muongo tu...Diamond ni mkali...aache masifa ya kijinga...inawezekana kifafa kimeathiri ubongo wake...maake aliwahi shikwa na kifafa na kudondoka toka gorofan pale Impala Hotel...Arusha.
yes that's trueJamaa kasema maneno ya ukweli kabisa....ila kwa wabongo sio kila ukweli usemwa popote lazima aongeze idadi ya maadui hapo
sikiliza nyimbo zao wote wawili bila ushabiki utajuaKivip mkuu...
hahaha mkuu mbona unajikoti mwenyeweNi muongo tu...
Nailed it Doctor ,Diamond is way overrated
Ahahaa kwa mara ya kwanza leo nimejikuta nashindwa kuchagua nani mkali zaidi kati ya hawa wanamuziki
Sitaki kuulizwa kwa nini.
diamond haingizi maguu kwa chameleone
Jamaa kasema maneno ya ukweli kabisa....ila kwa wabongo sio kila ukweli usemwa popote lazima aongeze idadi ya maadui hapo
Diamond ni mkali...aache masifa ya kijinga...inawezekana kifafa kimeathiri ubongo wake...maake aliwahi shikwa na kifafa na kudondoka toka gorofan pale Impala Hotel...Arusha.
Mkuu niko maji hapa Micassa ...Tabata duuuhahaha mkuu mbona unajikoti mwenyewe
Hana ukali wiwote.Kujaza stadiums hata Diamond anaweza kujaza Kenya na Uganda...
Chamilion namuona mkali kuliko Diamond lakini si kwa kigezo cha kujaza stadiums....
Hata Mr Nice alijaza stadiums East Africa.....je alikuwa mkali kuliko wote?