Diamond: inakuwaje tena Jombaa?

TANMO

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
12,211
Reaction score
13,053
Niaje Pafomensi zako nyingi ni lazima ufanye mchezo wa Makalio?
Ona hapa tena wanenguaji wamekushika Makalio yako na wewe umetulia tu.
Hivi unaufahamu uhusiano uliopo kati ya Makalio na Thamani ya Uanaume wako?

Tatizo nini ikiwa hata waswaga kondoo ndio starehe zao.
 
Kweli aisee, nakumbuka yule wa dodoma mwaka jana alikuwa mvaa VINJIWA mmoja hivi

Yule wa Soni unamkumbuka? na picha juu akiwapiga.

Na yule wa Kianglikana aliyeolewa na dume mwenzake? kwi kwi kwi teh teh teh!

Ajabu inakuwa kwa mcheza show ambae anaingiza fedha kwa kushikwa makalio?
 
Yule wa Soni unamkumbuka? na picha juu akiwapiga.

Na yule wa Kianglikana aliyeolewa na dume mwenzake? kwi kwi kwi teh teh teh!

Ajabu inakuwa kwa mcheza show ambae anaingiza fedha kwa kushikwa makalio?

Afu huwa nashindwa kuelewa kwa ni hivi vitendo ni vingi sana huku pande zetu sie WATAKADINI mombasa, tanga, zenji, dar,e.t.c afu mara utaskia aunt HASHIM, aunt BILALI, sasa na huyu msanii ni mwenzetu pia sijui ataanza kujiita aunt NASREEM ABDUL,,,,!!!!!!???? shwari lakini anatuwakilisha vyema sie wachomaji....
 
Jikumbushe kwa kufata hizi links:

Rome's Subculture of Gay Priests Rocks the Vatican - Newsweek and The Daily Beast

Catholic church embarrassed by gay priests revelations | World news | The Guardian
 
Ya kazi gani kwa mie nilieko mburahati nawaona akina NASREEM wanageuzia wenzao backgrounds, nihangaike na links za nini ilhali akina anti HASHIM, nawaona live!!???

Nakusalimia Baba V............
 
Last edited by a moderator:
Habari ndugu yangu St. Paka Mweusi , kwema mkuu!!!?

Kwema mkuu mwenzangu nami hapa nilikuwa namshangaa kijana na hii tabia aliyoianzisha ya kuonyesha makalio yake,na nikashangaa zaidi mwingine anakupa link wakati mitaani kwetu maanti wote majina yao yanajieleza ni wavaa suruali fupi..
 
Mi mwenyewe nimemshangaa sana huyu njegele, hawa ndo wanaowatukanisha hata waumini wenzao waonekane ni hopeless kwa sababu ya vichwa kama hiki,, eti uniletee mimi links za ulaya wakati hapahapa manzese na kariakoo mifano hai ipo na kuna mmoja alidondosha shanga wakati wa zile vurugu za kila ijumaa baada ya kupewa kichapo na polisi, suala ni kukubali matokeo na kukaa kimya la sivyo ndo anazidi kujifunua zaidi huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…