Wanajamii forum natumai weekend inamalizika vizuri kwa sisi sote.
Najaribu kuuliza hivi tokea diamond ameweka kile kiduku kichwani ni lini ameshawahi kuonenaka amekinyoa?
Wenye uthibitisho wa reply na picha tukiziona au mwenye uhakika wowote anaweza kujibu