sio kweli walisingiziwa ni kama vile ali kiba alisvyosingiziwa..kuhusu ushoga labda umuulize huyo@Dinazarde kuhusu dj wa dangote
hahahahahahhaaha nafikiri uamuzi wangu wa kuji suspend kumshabikia diamond ni uamuzi bora kabisa niliowahi kufanya...sasa hivi naona clear picture
watu waliomzunguka diamond unajua wangapi ni machoko na mabasha hapa mjini? achilia mbali wasagaji
saut soul mashoga?!!
to be honest, song lake la number one , original na remix na zi feel kishenzi, nachukia vitabia vyake haswa vya karibuni na pale anapozidiwa, wanazi wake hawaamini kabisaNilikushangaa sana ulivyohamia huko,lakini sikuamini wewe kesho tu utarudi huko
watu waliomzunguka diamond unajua wangapi ni machoko na mabasha hapa mjini? achilia mbali wasagaji
Muzuri mamaaaa...muzuri mamaaaa..
.jamani naupenda sana huu wimbo..
Na tabasamu lako mauaaaaa
Muzuri mamaaaaaa
msalimie rommy jones
Heaven on Earth unaitwa huku kuna jambo linakuhusu