Diamond "Dangote" una cha kujifunza hapa

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,236
King Sunny Ade na wake zake
Kwa wale vijana wa zamani kwa vyovyote vile wanamfahamu mwanamuziki King Sunny Ade wa Nigeria. Hapa amekula pozi la tabasamu na wake zake. Diamond upo hapo?


 
Hapo lazima wanampigia. Mathematically hawezi kuwaridhisha wote, walinzi na mahausboy wanahusika sana hapo. Prove me wrong

Hapo sasa. Nimepend tu huzi picha
 

Attachments

  • 1415399960021.jpg
    71.6 KB · Views: 860
  • 1415400003842.jpg
    46.1 KB · Views: 786
Alichokosea alichukua wa rika moja..
 
Hapo lazima wanampigia. Mathematically hawezi kuwaridhisha wote, walinzi na mahausboy wanahusika sana hapo. Prove me wrong

Hahaa huyo lazima amegongewa sana tu mkuu sio walinzi na mahausboy hata marafiki wamepitia wake wote hao kwani yeye amekuwa mswati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…