Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Apeleke umbea wake huko,Arogwe ananiiniii?
alijuaje kuwa hizo nywele ni za kichwani?????
Wakati Diamond amegombana na Wema Sepetu, demu alifunguka kua Diamond ana Chale nyingi sana mwilini.
Hii inamanisha ni Mlozi wa kiwango cha juu, yawezekana kuna kaukweli hapa!!