Diamond atuhumiwa kumloga tanzanite...soma hapa tanzanite akifunguka kuhusu hili

ata Ali Kiba nae wanamuogopa sana,ana mapete yale ya kishirikina vidole karibu vyote na huwa anayavaa akiingia studio na akipanda stejini...muulize Lamar anajua mchongo wote wa Ali k,mpaka watu wakifika studio wakimkuta Ali wanahairisha kurekodi.

Ali Kiba na Diamond wanatupiana sana vitu!...
 
ata Ali Kiba nae wanamuogopa sana,ana mapete yale ya kishirikina vidole karibu vyote na huwa anayavaa akiingia studio na akipanda stejini...muulize Lamar anajua mchongo wote wa Ali k,mpaka watu wakifika studio wakimkuta Ali wanahairisha kurekodi.

Dah,

Hii ya kugairi kurekodi aliisema H-baba wakati anataka kurekodi wimbo wake wa NATAKA KULEWA.
Anadai kila akitaka kurekodi, Diamond anaingia Studio then yeye anajiskia mzito mwishowe anagairi, mwisho wa siku hakurekodi na Diamond akauchukua wimbo/kiitikio cha NATAKA KULEA na kukifanya chake.

Hawa wasanii Walozi sana aisee, wamebobea sana kwenye Miziziology. Sasa napata wasiwasi na kifo cha Sharo-Millionea kina mkono wa hawa jamaa!!
 
Huyo dogo muongo mimi naishi nae huku tabata kisukuru kweli ni huu baba yake ni muislamu wa itikadi kali mithili ya sheikh ponda naalisha mwambie kama ataendelea muziki kitachompata asimlaumu..
Na kama ni kuumwa kaanza kabla hajafahamika; kutokana na kukiuka matakwa ya mzee wake.

Na ilifika kipindi hadi hadi akwa anataka kuchanganykiwa na laana hiyo ya mzee wake

i see!!!
 
Bloody hell... Amejuaje Kama amerogwa Kama na yeye is mchawi, shirki shirki shirki


Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Si yeye mwenyewe alisema ni mganga wa kienyeji sasa Diamond anaingiaje hapo?! alisema mwenyewe Radio Free Africa kwamba kaachiwa na babu yake au kesha sahau kama alisema hayo maneno!!!
 
Wanaoamini ushirikina wanamapungufu kwenye vichwa vyao.Na hii inachangia kwa kiasi fulani kudumaza mambo mengi kwenye sektatofauti nchini kwetu au Afrika kwa ujumla.Na si hao wenye ubongo wa fleva tu,tena hawa hawatupunguzii kitu chochote hata wakiumwamalaria wakapungwe mashetani.Kuna wanasiasa na viongozi wa nchi pia,na wao wanaamini mambo uchawi kama kama wako karne ya 10.Na hao ndo tumewapa usukani wa kuongoza nchi yetu.
 
Ushirikina..ushirikina...ushirikina...Huyu dogo ni mpuuzi yeye na mambo yake ya kishirikina anaamua kumchafua Diamond, Afuate mambo yake aachane na Diamond," Kama ametumwa vile "..kila kukicha ni yeye na Diamond wengine hawaoni ? Akafie kwenye maushirikina yake..mwanzoni nilidhani ni mtu wa maana lakini kumbe ni mpuuzi tu.Ndio maana waafrika hatuendelei kazi kuendekeza ushirikina yeye na wanaomuamini wote ni washirikina na adhabu yao unawangoja..STUPID..
 
LIONE, Handsome mzima mshirikina..yaani ananiudhi..na kweli laana inammaliza mshirikina huyu na wote wanaomsapport..
 
Ujue ndg yng hata wewe uangalie mt kama Diamond amloge tanzanite ili apate nin pia nilishawah kusikia kuwa Rich mavoko nae aliposhindwa kupafamu pale viwanja vya leaders clabu alidai kalogwa.mtu kama kachemka ni vema kuwa mkweli sio kutoa sababu ambazo hazina msingi wala hazijengi.leo diamond ni mt ambae yupo juu sana pia jina lake lipo juu je amloge mt km tanzanite apate nin.wasani wetu vema mkawa wakweli mkichema haya vp bd umelogwa mpaka leo?
 
Back
Top Bottom