Diamond asema nimesitisha kupeleka matumizi ya watoto South

Hii movie tamu. Inaelekea climax.
Bi. Dada ajibu
Peter ajitete
Trainer ajipongezee
Chibu afunge mada. .........
Note : asijifananishe na mzee wake aliyedai alimtelekeza. No matter what! Watoto lazima wapate huduma stahiki .

Asikwepe majukumu huyo
 
Penzi la mwanamke maarufu ni msalaba mzito.
Bora aangalie mswahili mwenziye walianzishe.
 
Weee ishia hapohapo, yani ampe mama dangote $2000 za kina Tiffa ili hali anajua kabisa mume wa mama yake ni tapeli?


Atakimbilia wapi huyo mama ake , hawezi kufanya chochote na hela za wajukuu zake, Diamond mwenyewe amesema za mtoto wa Hamisa uwa anatuma babu tale


Angekua ni nmtumaji kweli angempa huyo Tale kama ni sandra haaminiki
 
Dhambi ya kumuita mtoto Wa ivan (nillan) kuwa ni wake itamtafuna,
 
Namkumbuka sana marehemu baba alikuwa akiniambia nisihesabu kama nina mtoto ikiwa siwalei mwenyewe nijitahidi kuishi na watoto wangu kwa mazingira yoyote na wasilelewe na watu wengine
Rip father
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…