Diamond apata show nyingi nchini Kenya

Diamond apata show nyingi nchini Kenya

kazikubwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
597
Reaction score
151
Msanii nguli amealikwa kupiga show za nguvu nchini kenya. Show hizo atazipiga mjini Lamu, Malindi na Mombosa. Akitoka Kenya ataelekea Dubai. Tumpe hongera tafadhali
 
na huko atavua kama alivyofanya fiesta, chooooonde huko ndio mombasa asiwajaribu mweeee
 
Let him behave asiende kuonesha boxer lake si unajua jamaa ni wahasimu wetu watachonga
 
na huko atavua kama alivyofanya fiesta, chooooonde huko ndio mombasa asiwajaribu mweeee
biashara matangazo..ametangaza watu wamevutiwa wameinunua.....chezea mombasa republic
 
Huyu diamond ni nani jamani kama ana nyimbo inayovuma niambieni nimjue au yule mwenye rasta
 
Back
Top Bottom