Diamond apata mapokezi makubwa Mombasa leo

GadoTz

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
350
567


Mapema leo Diamond alipogusa Aiport ya Mombasa...



Diamond akiwa pamoja na watoto yatima huko Mombassa kabla ya tamasha lake.
 
Hayo mapokezi makubwa yako wapi?Hao waandishi wa habari au?
 

Attachments

  • 1418316532182.jpg
    64.4 KB · Views: 1,646

Hayo magari wanayaazima SHOWROOM wanapiga nayo picha halafu wanayarudisha. Acha ushamba dogo
 
Kinachojadiliwa hapa ni mapokezi makubwa kama alivyosema mleta mada na sio airport wala terminal....

Mapokezi yalikuwa nje, hizo picha zimepigwa ndani ya airport, huwezi ona umati wa watu ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…