Mapokezi Makubwa!
Hayo mapokezi makubwa yako wapi?Hao waandishi wa habari au?
Mapokezi Makubwa!
Hahahaa haaaa
Sio ugomvi jamani, inapobidi tuseme ukweli sidhani kama kuna msanii mwingine East Africa anaweza kupokelewa hivyo Airport.
Google Mr Nice in Kigali Rwanda, bila shaka wewe ni miongoni mwa mashabiki maandazi au umeanza kujuwa Bongo Fleva mwaka 2010.
Hawa mashabiki maandazi wa Diamond wanahitaji maombezi na English course.
Ona hapa Davido anamtakia heri ya kuzaliwa mtu wake na vitimbakwiri vya Tandale wanavyokosa ustaarabu kwenye mambo binafsi ya Davido. Ni aibu natamani kucomment lakini naona aibu maana huwa sicomment chochote Insta.
Mashabiki wa diamond bin laden wanakibarua kigumu.
Diampnd ndio mtanzania maarufu.kupita wote duniani
Hapo ni airport ,ulitaka watu wajazane.kama wako ukumbini? umasikini wako hasira unazihamishia kwa diamond. Fanya kazi acha kushinda mitandaoni 24/7 .
Kinachojadiliwa hapa ni mapokezi makubwa kama alivyosema mleta mada na sio airport wala terminal....