Diamond Platnumz na Jux wakwama kwenye lift kwa dakika 15

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Jul 11, 2017
1,014
1,896
Diamond na Juma Jux.

Wanusurika kifo kwenye lifti siku ya Leo baada ya Lift kukwama kwa Dk 15.

Star Wa Muziki Africa diamondplatnumz Ameweka Wazi Kunusurika Kifo Kwenye Lift Akiwa Pamoja Na Juma_jux Na Watu Kadhaa. #Diamond Ame-Share Video Namna Tatizo Lilivyotokea Wakiwa Kwenye Lift Hiyo Na Kuandika

"Siku ya Leo mimi Juma_jux @fole_x na wenzetu kadhaa tumenusurika kifo kwenye Lifti.... Ndugu zangu wenye majengo marefu yenye kutumia Lifti tujitahidi kuzifanyia serivices hizi lifti zetu ili kuepusha madhara kwa Wananchi" - Diamond Platnumz

1689640622891.png



 
Back
Top Bottom