mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,223
- 4,681
Utadhani hili ni jambo la kawaida kwa msanii kutoka ardhi ya Tanzania akapewa heshima ya kutumbuiza uzinduzi wa mashindano makubwa kuliko yote Africa.
Diamond ameipa heshima Tanzania kwa kuwa msanii wa kwanza na pengine asitokee mwingine kutumbuiza uzinduzi wa mashindano ya AFCON. Lakini vyombo vyetu vya habari kimyaa kama hichi kitu ni cha kawaida. Sio blogs sio magazeti sio radio sio Tvs.
Wazalendo wa nchi hii tulitegemea hii habari iwe kubwa ili kuinspire hata wasanii wengine na vijana kwa ujumla. Lakini chuki roho mbaya majungu uswahili na utimu unatusumbua na kuturudisha nyuma wabongo.
Ndio maana Mrisho mpoto aliamua akaiwakilishe Kenya maana sisi wabongo buana!