Diamond Anamvisha Mpenzi wake Mpya Najma Pete ya Uchumba....

Diamond Anamvisha Mpenzi wake Mpya Najma Pete ya Uchumba....

Naona Diamond anafata nyayo za Mr.Blue maana mahali blue alipopita ndio na diamond anataka apite mfano Wema sepetu na sasa Najma.
 
306877_400085210062256_1762077818_n.jpg


Kuna habari zisizo rasmi kuwa Leo Diamond Anamvisha Mpenzi wake Mpya Najma Pete ya Uchumba....leo ni siku ya Kuzaliwa kwa Najma kufikisha miaka 21 ..So Diamond atatumia Fursa Hiyo kumvisha pete ya uchumba na kuuambia Ulimwengu kuwa wako pamoja baada ya tetesi za muda mrefu.

Mbona ni mwepesi sana wa kuvisha pete !! au za kichina nini !!
mimi nahisi hata akifikia kuowa ameshavisha kiasi pete kama 217 hivi, na kati ya hao labda 81% watakua HIV+ !!
 
Huyu kijana mshamba sana..ndo tatizo lakukulia mbagala
 
Ukiambiwa kuna mwanamke anakubali kumnyooshea kidole amvalishe pete, huwezi amini! Mie ningesema tukutane home na mahari mkononi.
mahari sio kitu, kuna watu wanapeleka mahari wanagonga halafu wanakula kona vilevile.
 
Mbona atawavisha wengi tu na bado. December ikifika atamvalishe mwingine
 
ishara ya ujana ni nguvu zake na mzee mvi zake
 
ishara ya ujana ni nguvu zake na mzee mvi zake
 
Mwalimu wa akina dada zetu wa siku hizi ni kipofu na amekwisha kufa. Hao ukiona anajifanya kuwa na misimamo ya kilokole au kama ya Mama Terry, unamtangazia ndoa, akisita unamvisha pete, akisita unapeleka posa kwao na kumalizia mahari kwa mbwembwe vyote hivyo ndani ya muda mfupi, lazima atoe mzigo.

Akitoa mzigo tu unakuwa unagonga bure mchana na usiku kama mke wako ili kufidia gharama ulizotumia. Akija kuzinduka umeshachokwa kinaingia kifaa kingine, chezea watoto wa mjini wenye vyao...

Acha wachezewe kwa kupenda mteremko na umaarufu wa watu wasio na mapenzi ya kweli wakiacha kwa nyodo wanaowapenda kwa dhati.
 
Ugonjwa wa ukosefu wa elimu ndo unaomsumbua.
 
na bado, si wanakubali wenyewe kupangwa foleni!!
 
Back
Top Bottom