jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,228 Reaction score 2,902 Sep 27, 2014 #1 Diamond ndie star wa kweli sio wengine kukesha na sisi club mpaka tunawachoka na wanakuwa si mastar tena juu yetu Fiesta lazima niudhurie kumuona mkubwa Chibu akifanya yake na T.I
Diamond ndie star wa kweli sio wengine kukesha na sisi club mpaka tunawachoka na wanakuwa si mastar tena juu yetu Fiesta lazima niudhurie kumuona mkubwa Chibu akifanya yake na T.I
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,234 Reaction score 26,754 Sep 27, 2014 #2 Dangote atakuwepo kwenye Fiesta
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Sep 27, 2014 #3 Promo?????
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,682 Sep 27, 2014 #4 BADILI TABIA said: Promo????? Click to expand... Habari ndo hiyo!
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,103 Reaction score 72,545 Sep 27, 2014 #5 Tumesikiaa
S Showme JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 1,257 Reaction score 505 Sep 27, 2014 #6 Kwa hiyo tufanyaje??
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,103 Reaction score 72,545 Sep 27, 2014 #7 Zamda Geuka said: Kwa hiyo tufanyaje?? Click to expand... Tufe..........
mke wa mkuu JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 634 Reaction score 277 Sep 27, 2014 #8 Mmh kweli staa wa majuu hata mitaa ya sinza ni ya mastaa watupu promo yako nimeikubali ila bado hujanishawishi
Mmh kweli staa wa majuu hata mitaa ya sinza ni ya mastaa watupu promo yako nimeikubali ila bado hujanishawishi