Diamond amdhihaki marehemu Kanumba

Mnapata wapi muda wa kufatilia hizi takataka?
 
OPERATOR uko wap uje kuzma moto uliowasha hkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.... !!!! Umbea tu
 
Mpeleke Mahakani akastakiwe aiwezekani amdhiaki marehemu afungwe kabisa .
"Alisikika mlevi mmoja akichangia mada"
 
Tutamfungia kuimba kwa muda usiojulikana. akhsante kwa taarifa
 
mzee ume leta uzi afu ume kimbia na kuutelekeza uzi wako ulicho andika apa ni pumba kama sio mashudu kabisa hao maahabiki ni mashabiki wapi si useme tu kua ni mtazamo wako
 
Kuna umri ukifikisha unaona kama Diamond ni mpuuzi fulani na anaimba nyimbo za kipuuzi sana na ngono ngono tu (japo anatengeneza pesa sana toka kwa wapenzi wake ambao ni wapuuzi puuzi na wapenda ngono ngono
 
Rubbish
 
Fasihi!! Unaweza kutafsiri kadri uwezavyo, km akili yako imekutuma hvyo ni sawa.
 
Kwahiyo hapo inatosha kusema kwamba simba amemdhihaki marehemu Kanumba?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…