Diamond amdhihaki marehemu Kanumba

Jamii forum inapoteza watu wenye akili kila siku . Nasa yamejaa mapoyoyo kama hili limojawapo! Pumbavu .
 
Simpendi Diamond lakini shutuma hii haina kichwa wala miguu mleta mada usiruhusu sana kichwa chako kufanya kazi unavyotaka
 
Jaman uanzishwaji uzi jamii forum uanze kuzingatia vigezo na masharti ukurupukaji umezidi
 
Khaaa! tutolee utumb.o wako humu
 
Utoto umekuwa mwingi sana utazani fb
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…