Diamond alivyompata Mimi Mars ni kama watu wanaonunua bidhaa online na kuletewa wanapoishi!

Status
Not open for further replies.
Wasalaam wana Jamvi!


Baada ya mwana muziki bora kabisa Tanzania kumsifia mdogo wa mwanamuziki Vannesa Mdee hivi karibuni kwenye ukurasa wake wa instagram ā€œ haka katoto nakapendaga basi tuuā€.

Baada ya hayo maneno ya on line unaambiwa ni kama Diamond aliagiza vile bidhaa on line hivyo alicho subiri ni kufikishiwa mzigo huo nyumbani ili aulipie....

Baada ya siku mbili ilibidi Aristote ahakikishe Bidhaa hiyo inafika nyumbani salama kabisa!

Diamond hakikisha na huyu binti una mnunulia gari au nyumba sio zawadi ya mtoto tuu....

Hongera sana Mimi Mars!
Leteni na picha zake ili tumuone maana wengine hatumjui
 
Katika wasanii wakike nilikua na wish kuja kuwatafuna nikiokota hela basi ni huyu Mimi mars huyu mtoto anaonekana ni mtamu jamani

Maninaa kaisha ingia kwenye himaya ya simba mla watu, atatafunwa mpaka kucha
šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom