Diamond alivyompata Mimi Mars ni kama watu wanaonunua bidhaa online na kuletewa wanapoishi!

Status
Not open for further replies.
Tuvulana twingi humu tunamzimikia dimond, nendeni hivyo hivyo hata vijambio anatumiaga (kwa mujibu wa nyimbo zake mwenyewe) ila msilazimishe kuwa k zote zikimuona zinalowa aaah we thubutuuu

wengine wamekomaa kutukana wanawake nchi nzima wakasahau na mama zao wamo kwenye hao wanawake wameguswa kidogo machozi tele na makamasi, shenzi kabisa

cariha pole kwa mashambulizi, umeyapangua vilivyo, ila siku nyingine usijichoshe hivi kwa tuvulana,
 
Nimeona Youtube Mimi Mars kahojiwa na Ayo TV anasema moja ni kazi inakuja na mbili waja Mnajua kuongea ongeeeni lol... and I trust her words
 
Jamani mbona Diamond atauwa watu yani comments zote just because of him this man is a Public Figure kumbe
 
By the way Diamond is still a paparazi boy and he's on media so keeping up with that lifestyle like that of The Kardashian's is quite good for him
 
Nenda wewe umupelekee kijambio chako, maana unafikiria wote tunawaza ka wewe akitoka kukugonga wewe mupelekee dada zako, maana inaonyesha kwenu ni cheap Hadi mnatweza utu wenu
Inawezekana kwetu tukawa cheap but i know u dont know me so its hard to tell kama u achokisema unaushaidi nacho. On the other hand its clear for a female kuonyesha pattern ya tabia kama zako, its clear unatoka katika difficult back ground.

Maana umeanza huu uzi vibaya kwa kumponda diamond ambaye ni kijana ameprove kuwa kidume kwa kutoka chini..... So my instincts zinaniambia kwenu ninyi mtakuwa na hali ngumu so kuona kijana diamond katoboa unacompare na kaka zako unaona hawafananii na yeye so thats why i are mad.

But anyways ni maisha... Its okay kwa mtu wa kaliba yako kuwa pissed off na success ya mtu aliyekuwa na maisha ya chini kisha akatoboa.......because umasikini ukifikia level ya kuingia damuni huwa unageuka kuwa sumu ya chuki kwa wenye mafanikio.

Sasa unamwita huyo dada anaetoka na diamond malaya, mara diamond sijui sio level yako, all these ni kwaajiri ya nini kama sio elements za kuwa na maisha magumu unatoa kauli za kujifariji...... So pathetic
 
Wanawake wa kibongo wao wanachotaka ni umaarufu, kutambiana mabwana na kukomesha wambeya.

Huyo Wema katumikaaa, ana nini sasa hivi ?
Wema sasa hvi ana miaka 30 tena leo ni birthday yake jst kidding.....
 


Huyu sijui type zake ni vuguvugu ,katikati ya mwenye hela na mtafutaji.

Mimi mwenyewe si mwelewi manake kwenye jukwaa la Mahusiano anaponda sana wanaume watafutaji,huku kabadilika sasa sijui yy anapenda type gani.
Hakapo stable.... Mchana nimekapa makavu kanakimbilia kutukania mama. Nimewaza baadae nikajua tu some people wapo troubled so ukimchukulia serious anaweza kukufanya ujiskie vibaya.

But seriously, haka kademu nina wasi wasi pengine kalishawahi kuwa molested.... So kapo bitter sana na wanaume...
 
Okay, suppose tuseme upo na pussy of which i doubt kama itakuwa safe for use..... Given the nature of how bitter u are your pussy may definitely be infested with fungal and UTI of which men won't enjoy pumping it.....

Wivu unao cause the way huwa unakuja na hoja zako u don't sound normal upo violated some how in your brain or malezi..... So pole kwa mleta uzi kukukwaza but thats life......
Hahaaa Yani umefika Hadi kwa pissy sijui fungi seems wewe mwenyewe ndio mgonjwa wa hayo maradhi Hadi kusemelezea wenzako. Pole kijana wewe kilichobaki ni kujinyonga tu hamna namna
 
Wewe wa kusema Diamond sio type yako wewe kweli?? afu bado unaita wanaume hatuna nyuma wala mbele?
Nani akutake hapo ndio umeweka black&white uko hivyo je usipotumia filter aseeee....
Hahaaa bado hujaweka ya uchi mkuu, mbona humu JF najulikana Sana tu eti anatake Nani humu jukwaa huru kabisa na sio sehemu ya kutafta wanaume au wanawake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom