binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,168
- 34,630
The tandalez aren't royal mydear.
Yaani nimemdharau sana huyu mtu kuiga tuu.
Hata ye amekudharau.
The tandalez aren't royal mydear.
Yaani nimemdharau sana huyu mtu kuiga tuu.
Wanapenda sana kumuandama kaka wa watu mie jibu langu hapa ni moja tu, tumeshamsamehe diamond wetu, kwani wao walitakaje?
Ndio nini ulicho ni qoute?
Ungekua Unajua Kuushirikisa Ubongo Wako Vizuri Ungekua Binadamu Wa Maana Sana.Ebu Fanya Zoezi Dogo Tu.Angalia Kiepe Yai Amejoin Jf Lini.Na DogofGOD Amejoin Lini.Halafu Tafuta Post Yangu Yeyote Kabla Ya Hapo.Halafu Ndo Utajua Kati Ya Mimi Na DogofGod Nani Kamuiga Mwenzie.Ukimaliza Rudi Humu Ufute Ule Usemi Wako
hao ni haters kitambo sasa wanataka hako kadole ndo wakatumie kama fimbo ya kumchapia wote tumchukie, amekosea kama binadam wengine tu haiwezi kuwa sababu ya mimi kumshusha, tuwaulize tu Mbona 2Pac alikuwa anapiga madole ya kutosha ila ndio wengi wanamtaja kama role model kwenye hip hop na sikuwahi kusikia mtu akimchukia kwa sababu ya hiyo? Haters gonna hate...
huyu kapotea sasa kisa hiyo tuzo moja? majanga akipata 6 kama kiba sia atachanganyikiwa huyu?
Usije hata sie hatukutaki. Halafu acha kumuiga Dogofgod Mwandiko wakeí-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚
Ungekua Unajua Kuushirikisa Ubongo Wako Vizuri Ungekua Binadamu Wa Maana Sana.Ebu Fanya Zoezi Dogo Tu.Angalia Kiepe Yai Amejoin Jf Lini.Na DogofGOD Amejoin Lini.Halafu Tafuta Post Yangu Yeyote Kabla Ya Hapo.Halafu Ndo Utajua Kati Ya Mimi Na DogofGod Nani Kamuiga Mwenzie.Ukimaliza Rudi Humu Ufute Ule Usemi Wako
Mbona kimekuuma kwani kuiga dhambi? Haya Dogofgod acha kumuiga #KiepeYai Mwandiko wake 😂 😂😂😂😂😂😂
Hili jambo si la kusababisha kubadili management toa ushauri mwingine!Noma sana, mbaya zaidi hii picha imepigwa mbele ya management yake, na imepigwa na kusambazwa na timu yake kama sikosei. Nilisema juzi kati jamaa anahitaji management mpya itakayomsimamia kama managements za kimataifa zinavyofanya.
Haya si makosa ya Diamond, ni makosa ya management yake, wameshindwa kumuongoza kijana.
Futa uni qoute tena.
Teh Teh huyu mkombozi anakuja kukomboa nini?Mkomboz anakuja mwenye heshma na adabu ali kiba for really
Teh Teh huyu mkombozi anakuja kukomboa nini?
Comment Zako Nyingi Zimejaa Ubishi Wa Kitoto Husiokua Na Kichwa Wala Makalio.Ni Vizuri Urudi Shule Ili Ubongo Ukue Na Angalau Uelemike Kidogo.Ili Badae Uje Kua Member Mwenye Tija Zaidi Hapa Jf.Kwasasa Jf Umepotea Njia Japo Taifa Bado Linakutegemea.Sawa Dogo?
Futa uni qoute tena.
Hakiwezi Kuniuma Hata Kidogo.Labda Wewe Peke Yako Ndo Ulikua Ulijui Hili.DogofGod Ni Pacha Wangu Wa Damu Tumbo Moja.Na Ndomana Miandiko Yetu Inafanana.Na Wote Ni KingKiba Fans Damu.Husilisahau Hili Tena.
Kwa hiyo unatoa laana au? Kwanini tujifunze kwa walio shindwa? Diamond hawezi kudumu milele lakini zamu yake ikiisha bado atakuwa amejijenga na amewekeza na atazeeka vyema! Huyo Mr nice alichezea nafasi....!Diamond ajafika umaarufu wa Lucas aka mr nice lkn Leo hii you wapi? Juma nature, ay, fa, jaydee, pr j, na ze like wapo kitambooo na hadi Leo media zinawazungumzia bado wana hit yani koz ni wana nidham na kazi zao ni hawaendeshwi na mihemko ya mashabiki ila sasa huyu jamaa yy anaona ataheat time zote mi namwambia hivi dayz ar counted mtasikia pyuuuuuy!!!! Kazikwa katupwa kule, ashukuru media bdo zinambeba. Wako wapi akina rihanna pamoja na kuvuma kimziki je hadi sasa anaheat tena yy ni wa kimataifa zaidi. Mi nawaambia hivi atakae dumu milele watakao dumu kuheat milele ni SIMBA NA YANGA.
Hili jambo si la kusababisha kubadili management toa ushauri mwingine!
Hakiwezi Kuniuma Hata Kidogo.Labda Wewe Peke Yako Ndo Ulikua Ulijui Hili.DogofGod Ni Pacha Wangu Wa Damu Tumbo Moja.Na Ndomana Miandiko Yetu Inafanana.Na Wote Ni KingKiba Fans Damu.Husilisahau Hili Tena.
Hahahaaa haaaaaa haaahaa hahhahahha haya byeee.