Kwani diamond ndo anawavua nguo..Unapendezwa au kufurahi kuona matako na matiti ya mwanamke hadharani? Kumbuka ndo alokuzaa.acha mawazo ya karne ya 5 .ni lazima tutetee maadili yetu ipasavyo
Eti nn mkuu sijakuelewaSasa matako yao bandia wewe yanakuhusu nini? For his career mwacheni tu. Kama mnaona wivu na wewe karekodi ya kwako
utandawazi ni mgumu sana kuuepukaNawe unasapoti ujinga.ebu tukue hata kidogo basi.ni lazima wanawake waheshimiwe na utu wao utunze.
Acha kufananisha uchi za kizungu na za kibongo wewe! Za kikwetu zinawepagawawisha bw! Ukiona Mara moja tu picha haifutiki wiki nzima kwenye glasi ya maji, darini hata ukifumba macho IPO tu. Wakatazwe tu!!!ukikataza hizo video za kina diamond ukataze tamthilia mbal mbali zinazorushwa na tv mbal mbal wanawake wakiwa uchi.! huwa sion maana ya kukataza hizo video wakati kuna movie na episode kibao mtaaan pamoja na video za nje zinaangaliwa. sa sijui utalindaje maadili. waachen wafanye tu Sababu hata kuwakataza haitasaidia
Pesa ndo kila kitu mkuu sasa wewe na umasikini wako bado unajidai unamaadiliUnapendezwa au kufurahi kuona matako na matiti ya mwanamke hadharani? Kumbuka ndo alokuzaa.acha mawazo ya karne ya 5 .ni lazima tutetee maadili yetu ipasavyo
NenoNatamani sana hao wanaotetea hizo video wangeweka angalau picha za video za dada zao halafu wakazisambaza mitandaoni,fb,twitter na kwingineko ili wawasaidid dada zao kupiga hela kupitia sanaa hiyo.
ACHENI AKILI MAJI NYIE
Umenena kabisa.wenye akili hizi ni wachacheNatamani sana hao wanaotetea hizo video wangeweka angalau picha za video za dada zao halafu wakazisambaza mitandaoni,fb,twitter na kwingineko ili wawasaidid dada zao kupiga hela kupitia sanaa hiyo.
ACHENI AKILI MAJI NYIE
Waambie haoAcha kufananisha uchi za kizungu na za kibongo wewe! Za kikwetu zinawepagawawisha bw! Ukiona Mara moja tu picha haifutiki wiki nzima kwenye glasi ya maji, darini hata ukifumba macho IPO tu. Wakatazwe tu!!!