Diamond aendelea kutesa Afrika

aende akawapigie taarab na miduara
 
+hawana bifu management za pande zote mbili walishathibitisha,

+so wanaweza wakasimama pamoja tu hakuna linaloshindikana!
 
hiyo show mbona ilishatangazwa mda
 
Sidhani kama watashare yan wataimba pamoja mana Diamond hawez imba my #1 tena alishaimba last year kwenye tuzo za mtv. Sahv ataimba nyimbo zke nyingne 2. Kwaio atapanda davido atafanya yke then atapanda Diamond atafanya yake
 
hiyo show mbona ilishatangazwa mda

Hapana mkuu ile ilotangazwa b4 ni show ya load to mama itafanyka nigeria. Kama ktk mpra tunasema n mechi ya ngao ya hisani then wiki moja baadae ligi inaanza.
 
Hapana mkuu ile ilotangazwa b4 ni show ya load to mama itafanyka nigeria. Kama ktk mpra tunasema n mechi ya ngao ya hisani then wiki moja baadae ligi inaanza.

ok ok !
 
List imekamilika iyo uku diamond pembeni davido mnyama mwenywe Casper nyovest yemi alade pembeni buccie show itakuwa boom
 
Olamideeeee oya shake shibobo move ferari bobo
 
Ungekuwa umesoma fasihi vizuri ungenielewa..
Hyo ni sawa na ulinganishi.
Kwa level za Diamond kwa sasa naimagine kama angekuwa amezaliwa states. Hata Mike angekaa.

Hutaki unaacha.

Bado ngumu kumesa! Hutaki pita hivi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…