Diamond aamua kuanika siri za Wema, Jokate hadharani

Nadhan wewe utakua unapenda kutoka na wale ulowazidi umri,,,,hiyo itakua ndo hobi ya hako kajamaa
Naomba kuuliza tu, kwakuwa kuuliza si ujinga. Hivi kwanini haka kajamaa kanapenda wanawake wanaokazidi kimo? (nina maana ule urefu wa kwenda juu).
 
Sawa na kujitupa kivuko cha magogon wakat hujui kupiga mbizi
Amesahau kuwa alisema kwamba Wema kamfundisha ung'enge? kila mwanamke ana mabaya na mazuri yake, kama kweli yeye ni mwanaume wa shoka asema ubaya mabaya ya Jokate sasa hivi, asije kusema pale walitakapomwaagana.... utaiskia eeeeh anakojoa kitandani.... teh teh teh
 
Nilikuwa napinga ubaguzi kati ya mwenye elimu na empty head, lakini sasa ona diamond anajionyesha dhahir kichwa ki2pu anawezaje kuanika mahusiano yake ya zamani kwa public? Loh! Pole jokate kazi unayo,nawe sasa hiv kichwa chako kitakuwa kama cha diamond.
 
Nikimkumbuka Mr Nice The Millionare, huyu dogo anayejiita Diamond nadhani atakuja kujuta sana Maisha yake maana anapata vijisenti akiwa mdogo na atalost akiwa mdogo vile vile, badly sijui huyu mtoto kama hata Elimu ya Secondary amepata, maana ningekuwa mshauri wake ningemshauri ajikite na shule kuliko Mapenzi. Time will tell.
 
hata mie nilikuwa namkubali sn huyu dada but kuangukia kwa dogo kama huyo ni aibu sn dada ni msomi, mrembo upstears yuko safi why?
 
Achen dogo ajimwayeye ajichane uzuri wa sura sio tabia dogo hana kosa joketi aanawivu na roho ya kwa nini kajirahisisha kwa diamond huku akijua mwenzie kajitiri hapo
 
hata mie nilikuwa namkubali sn huyu dada but kuangukia kwa dogo kama huyo ni aibu sn dada ni msomi, mrembo upstears yuko safi why?
Becausse Upstars Empty na hana usomi wowote zaidi ya kukalili na kufaulishwa mitihani kwa rushwa za ngono, hakuna msomi anayeweza kufanya madudu kama haya.

In any Cimrcumstance huyu haka kajaa siyo type yake,Jokate alitakiwa aangalie mfano wa kina Hoyce Temu na Faraja Kota, demu kama huyu kama angekuwa ni Dada yangu lazima nimpige Marufuku huyo kibwengo wake kukanyaga kwa Wazazi wangu na hata nyumbani kwangu
 
  • Thanks
Reactions: kui
Ss nimeamini ule usemi usemao mwanamke anaakili kama kuku, Huyu dada nimemshusha sn sn.

Hivi wewe una mama na dada??!!!, akili kama kuku ni zako wewe, mxxxx!, hata haya huna, amka kaka its freaking 2012!
 
Diamond ndio wakati wake wa kula mema nchi mwacheni afaidi big up dogo mwenye kujipendekeza we kula tuu.
 
Asubiri maambukizi mapya..wenzake walishapita huko..ushamba utamuua kijana.
 
[h=1]ts Official: Diamond confirms He and Jokate are an Item.[/h]Posted on April 24, 2012 by Editor
http://www.bongo5.com/category/celeb-directory/jokate-mwegelo/#
24

http://www.bongo5.com/category/celeb-directory/jokate-mwegelo/#

jo-na-di.jpg

Baada ya Speculation ya muda mrefu, Diamond Platnumz amekiri wazi penzi lake kwa Jokate Mwegelo, ambaye kwa muda mrefu alikua amekataa kudhibitisha uhusiano wake na yeye.
Diamond, kupitia Blackberry messenger status yake amekiri kumpenda Jokate kwa kuweka picha ya Jokate na kuambatanisha status message iliyosema,
"I love you Kate and there is no one like u in ma life"
‘Baada ya lisaa limoja Diamond alibadili tena status yake na kuweka ishara ya busu kwa mpenzi wake huyo Jokate.
Inasemekana kwamba Diamond na Jokate walianza uhusiano wao wakati Diamond bado akiwa anatoka na Wema Sepetu ambapo ikampelekea Wema kumtaja Jokate kwenye vyombva vya habari kwamba ndiye anayemharibia uhusiano wake na Platnumz. Wawili hao walikana uhusiano wao mara kwa mara, ingawa ishara zote zilionyesha ukweli wao na kwa kua mapenzi ni kikohozi na kulificha huliwezi, hatimaye penzi limefichuka.
Itakumbukwa kwamba Diamond,ambaye anaonekana kuwa hoi kwenye mapenzi na Jokate,aliwahi kufanya video na Kate, ya wimbo wake wa ‘Mawazo'na pia alishuka na demu wake huyo pamoja na mama yake kwenye gari moja katika show yake ya ‘Diamonds are forever' Mlimani City ambapo Diamond alimsusia ex wake Wewma ambaye alienda kumtunza pesa stejini huku Jokate na Rafiki Zwake wakishangilia tukio hilo.
HMK_0814.jpg
Diamond akicheza na Jokate

Jokate pia amekua mstari wa mbele katika kumtengenezea mzee wake mavazi tofauti kupitia brand yake mpya ya Kidoti, kama invyoonekana kwenye picha hizi wakiwa kwenye fashion show ya Tanzania Mitindo House, ambapo Diamond alikua show stopper Model wa Jokate na kwenye tuzo za Kilimanjaro Music Awards ambapo Diamond, alipokua amanapokea tuzo yake ya Video bora ya mwaka, pia alirock kitu cha Kidoti cha Mamsup!
diamond.jpg
Diamond akiwa amevaa design ya Jokate

Posted in Bongo5 Gossip, Diamond Platnumz, Jokate Mwegelo, Wema Sepetu[h=1]Wema,Aunt, Jokate, Barnaba na Stars wengi Shine at Diamonds Are Forever Concert!![/h]Posted on March 31, 2012 by Editor
http://www.bongo5.com/category/celeb-directory/jokate-mwegelo/#
10

http://www.bongo5.com/category/celeb-directory/jokate-mwegelo/#

DSC_1046.jpg
Red Carpet Interview

Wadau, Baada ya show ya Jana ya Diamonds are forever,Tunakuletea Pics kutoka Mcity ya Stars waliiojitokeza kushow love.
Check these Out! Continue reading →

Posted in Amini, Aunt Ezekiel, Barnaba, Concerts, Jokate Mwegelo, Lamar, Photos, Stive Nyerere, Wema Sepetu[h=1]Happy birthday Jokate!!![/h]Posted on March 20, 2012 by admin
http://www.bongo5.com/category/celeb-directory/jokate-mwegelo/#
6

http://www.bongo5.com/category/celeb-directory/jokate-mwegelo/#

162650_101513416590297_100001949168261_13085_2523801_n.jpg

Happiest of birthdays to one of Bongo's brightest stars, the multitalented and gorgeous Jokate Mwegelo. We knew you were set for greatness when we featured you on the cover of our magazine, this is just the beginning as bigger things are on the horizon…enjoy the ride!
168766_101514559923516_100001949168261_13107_6201397_n.jpg

Posted in Birthday, Jokate Mwegelo[h=1]Diamond ang'atuka, Wema, Wolper, Uwoya, Joketi mchawi nani?[/h]Posted on December 14, 2011 by admin // 1 Reply
http://www.bongo5.com/category/celeb-directory/jokate-mwegelo/#
9

http://www.bongo5.com/category/celeb-directory/jokate-mwegelo/#

diamond_wema.jpg

Juzi katika kipindi cha Take One Exclusive, niliweza kupata vitu ambavyo mimi mwenyewe sikutaka kujiuliza peke yangu nikaona ni bora nivimwage utamu wote kwenye Bongo5, kama alivyoweza kuumwaga Zamaradi Mtetema katika kipindi Chake.
Continue reading →

Posted in Bongo5 Gossip, Diamond Platnumz, Entertainment, Irene Uwoya, Jackie Wolper,Jokate Mwegelo, Wema Sepetu | Tagged bongo, sepetu, wema, wolper[h=1]Jokate na stori fupi ya kuchaguliwa Channel O[/h]Posted on October 19, 2011 by admin // 1 Reply
http://www.bongo5.com/category/celeb-directory/jokate-mwegelo/#
0

http://www.bongo5.com/category/celeb-directory/jokate-mwegelo/#

jokate-face_2.jpg

Flavia is no stranger to the Ugandan entertainment circuit and is looking forward to being part of the larger African community by joining Channel O. The 23-year old university graduate and current game show host believes Africans are ‘the greatest and most welcoming people- they make you feel at home! She loves watching investigative television shows like CSI Miami, Bones and Criminal Minds.

Continue reading →

Posted in Entertainment, Jokate Mwegelo | Tagged africa, african, jokate, love, world[h=1]Filamu ya Chumo yazinduliwa[/h]
 
ts Official: Diamond confirms He and Jokate are an Item.

Posted on April 24, 2012 by Editor
24

jo-na-di.jpg

Baada ya Speculation ya muda mrefu, Diamond Platnumz amekiri wazi penzi lake kwa Jokate Mwegelo, ambaye kwa muda mrefu alikua amekataa kudhibitisha uhusiano wake na yeye.
Diamond, kupitia Blackberry messenger status yake amekiri kumpenda Jokate kwa kuweka picha ya Jokate na kuambatanisha status message iliyosema,
“I love you Kate and there is no one like u in ma life”
‘Baada ya lisaa limoja Diamond alibadili tena status yake na kuweka ishara ya busu kwa mpenzi wake huyo Jokate.
Inasemekana kwamba Diamond na Jokate walianza uhusiano wao wakati Diamond bado akiwa anatoka na Wema Sepetu ambapo ikampelekea Wema kumtaja Jokate kwenye vyombva vya habari kwamba ndiye anayemharibia uhusiano wake na Platnumz. Wawili hao walikana uhusiano wao mara kwa mara, ingawa ishara zote zilionyesha ukweli wao na kwa kua mapenzi ni kikohozi na kulificha huliwezi, hatimaye penzi limefichuka.
Itakumbukwa kwamba Diamond,ambaye anaonekana kuwa hoi kwenye mapenzi na Jokate,aliwahi kufanya video na Kate, ya wimbo wake wa ‘Mawazo’na pia alishuka na demu wake huyo pamoja na mama yake kwenye gari moja katika show yake ya ‘Diamonds are forever’ Mlimani City ambapo Diamond alimsusia ex wake Wewma ambaye alienda kumtunza pesa stejini huku Jokate na Rafiki Zwake wakishangilia tukio hilo.
HMK_0814.jpg
Diamond akicheza na Jokate

Jokate pia amekua mstari wa mbele katika kumtengenezea mzee wake mavazi tofauti kupitia brand yake mpya ya Kidoti, kama invyoonekana kwenye picha hizi wakiwa kwenye fashion show ya Tanzania Mitindo House, ambapo Diamond alikua show stopper Model wa Jokate na kwenye tuzo za Kilimanjaro Music Awards ambapo Diamond, alipokua amanapokea tuzo yake ya Video bora ya mwaka, pia alirock kitu cha Kidoti cha Mamsup!
diamond.jpg
Diamond akiwa amevaa design ya Jokate

Posted in Bongo5 Gossip, Diamond Platnumz, Jokate Mwegelo, Wema SepetuWema,Aunt, Jokate, Barnaba na Stars wengi Shine at Diamonds Are Forever Concert!!

Posted on March 31, 2012 by Editor
10

DSC_1046.jpg
Red Carpet Interview

Wadau, Baada ya show ya Jana ya Diamonds are forever,Tunakuletea Pics kutoka Mcity ya Stars waliiojitokeza kushow love.
Check these Out! Continue reading →

Posted in Amini, Aunt Ezekiel, Barnaba, Concerts, Jokate Mwegelo, Lamar, Photos, Stive Nyerere, Wema SepetuHappy birthday Jokate!!!

Posted on March 20, 2012 by admin
6

162650_101513416590297_100001949168261_13085_2523801_n.jpg

Happiest of birthdays to one of Bongo’s brightest stars, the multitalented and gorgeous Jokate Mwegelo. We knew you were set for greatness when we featured you on the cover of our magazine, this is just the beginning as bigger things are on the horizon…enjoy the ride!
168766_101514559923516_100001949168261_13107_6201397_n.jpg

Posted in Birthday, Jokate MwegeloDiamond ang’atuka, Wema, Wolper, Uwoya, Joketi mchawi nani?

Posted on December 14, 2011 by admin // 1 Reply
9

diamond_wema.jpg

Juzi katika kipindi cha Take One Exclusive, niliweza kupata vitu ambavyo mimi mwenyewe sikutaka kujiuliza peke yangu nikaona ni bora nivimwage utamu wote kwenye Bongo5, kama alivyoweza kuumwaga Zamaradi Mtetema katika kipindi Chake.
Continue reading →

Posted in Bongo5 Gossip, Diamond Platnumz, Entertainment, Irene Uwoya, Jackie Wolper,Jokate Mwegelo, Wema Sepetu | Tagged bongo, sepetu, wema, wolperJokate na stori fupi ya kuchaguliwa Channel O

Posted on October 19, 2011 by admin // 1 Reply
0

jokate-face_2.jpg

Flavia is no stranger to the Ugandan entertainment circuit and is looking forward to being part of the larger African community by joining Channel O. The 23-year old university graduate and current game show host believes Africans are ‘the greatest and most welcoming people- they make you feel at home! She loves watching investigative television shows like CSI Miami, Bones and Criminal Minds.

Continue reading →

Posted in Entertainment, Jokate Mwegelo | Tagged africa, african, jokate, love, worldFilamu ya Chumo yazinduliwa
 
Huyu bibi anaona dunia ni yake na
life kaipatia hakutegemea kupanda gari nzuri wala
hakudhania atakaa nyumba nzuri
siku hiko kitoto chake kitapoanza kuhara ndo atatia akili
haoni haya kusupport upuuzi wa mwannae?
wanaume wa diaini hii ndio wanasababisha jina la 'gumegume' wanaanzaje kumponda mwanamke uliyekuwa naye zamani?! Na huyo uliye naye sasa hivi mkikosa naye uponde! -off topic- hivi hakuna mtu anaweza kumshauri mama diamond amrudie mungu? (aanze toba) yuko magharibi sasa jua ndio hilooo linachwea lakini bado kuongoza na kijana wake kila mahali! Mademu wa kijana wake wote anawajua!! Aibu gani hii kwa mama mtu mzima?!
 
Huyu dogo anapoenda pabaya na atajishushia heshima mbele ya watu wenye akili timamu, sidhan kama ni busara kutangaza siri za mpenzi wako wa zamani kwa media, nahic kama dogo ktk kuachana yeye ndio ameumia kwani daily yeye ndio anaongea vitu vya kutaka kumdhalilisha mwenzie and let b frank, wema is superior kwa jokate interms of shape, good looking, class and style! labda dogo anataka kujiridhisha kua jokate ni zaidi wakati ukweli uko wazi jokate hamfikii wema! infact ukiongelea wasanii na other celebrity wema sepetu hafikiwi na demu yoyote yule anawaacha mbali kabisa!
 
Tatizo la mastaa wa miziki ya playback (hawapigi ala wanarudia ala ya kutengeneza studio)tunaita nyimbo za Big G km kweli anarudia kashfa zake amuogope MUNGU ni upepo inapita
 
Huyu nae cku c nyingi ataanza kufanya show za kulipwa pesa ya sawa na cm ya nokia tochi ukifika muda huo ntanenepa mana hana akili hata kidogo
 
Jokate ana akili sana.” Diamond, mbele ya mama yake, alikula kiapo kwa kutaja jina la Mungu kuwa kwa Jokate amefika na hatarajii kuachana naye.

once a winker always a winker.....................aksikia kamshibisha hapo ndipo atakurupuka na kutuelezea kulikoni..........
 
Back
Top Bottom