Rais Jk leo amesemwambia Magufuli kuwa asimusahau Antony Diallo kwa kuwa star TV imeibeba ccm pasipo mfano! Asimsahau kivipi?
Rais Jk leo amesemwambia Magufuli kuwa asimusahau Antony Diallo kwa kuwa star TV imeibeba ccm pasipo mfano! Asimsahau kivipi?
Mkuu hata Lowassa anatakiwa asimsahau Mengi kumpatia kitalu Mtwara
ili limekaa vibaya sana na ni dharau kwa wapiga kura ccm ni ya wachache tu sis wapiga kura tumepigwa tako. Mimi kura yng ni kwa lowasa.
Mlinunua vyombo vya habari mkidhani ccm haitasikika.hata mimi nitaiombea star tv
akili zaa maitiiiiii katika ubora wakeNi kama ilivyo Mengi kwa lowasa,kwani cha ajabu nini?
Maiti mnatembea nayo,na haiingii ikulu never,Magufuli ndo Raisakili zaa maitiiiiii katika ubora wake