Dhuluma kwa wananchi na ulafi wa magamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dhuluma kwa wananchi na ulafi wa magamba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TheRedKop, Aug 22, 2011.

 1. TheRedKop

  TheRedKop Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Jaman,hizi microfinance za kibongo na riba zao. waalimu na wanajeshi/polisi ndio wanaumizwa. riba zinaenda mpaka asilimia mia mbili. serikali iko wapi?wabunge kimya? inasemekana baybort ni ya mke wa rais mstaafu na pia akina warioba nao wamo. hawana huruma? NSSF walishapewa dhamana ya kuanzisha microfinance kwa ajili ya wanachama wake,lakini kimya!! ni makusudi tu ili wa tz tuzuid kunyonywa. Tunawaomba wabunge wetu wa cdm watusaidie. Regulations katika riba kumlinda mkopaji, na nssf nao watueleze kulikoni? nssf wangeweza kuajiri watu wengi sana kwa kutekeleza hili,na ingekua msaada mkubwa kwani wanachama wangeweza kopa pesa zao ambazo zipo nssf wakati wao walia na ada za watoto. Waheshimiwa,msaada
   
Loading...