hippocratessocrates
JF-Expert Member
- Jul 1, 2012
- 3,598
- 1,545
Habari wakuu.
Kuna suala ambalo nimekuwa nikili_experience hivi karibuni, na si peke yangu ila pamoja na baadhi ya wadau/watumiaji wa Courrier agency kama DHL...ofisi nyingi hasa Dar, na Mwanza.
Ucheleweshwaji wa parcels/packages na majibu mabaya ya watumishi/wafanyakazi wa agency hiyo. Ikumbukwe kwamba mtu anatumia gharama kubwa katika kusafirisha mzigoiki ufike kwa wakati/kabla ya wakati lakini inachukua takribani wiki nzima hadi wiki na nusu kwa mzigo kukabidhiwa kwa mpokeaji!
DHL badilikeni!
Najuta kuagizia mzigo kupitia DHL yaani hawafai ni zaidi ya Wapuuzi
Habari wakuu.
Kuna suala ambalo nimekuwa nikili_experience hivi karibuni, na si peke yangu ila pamoja na baadhi ya wadau/watumiaji wa Courrier agency kama DHL...ofisi nyingi hasa Dar, na Mwanza.
Ucheleweshwaji wa parcels/packages na majibu mabaya ya watumishi/wafanyakazi wa agency hiyo. Ikumbukwe kwamba mtu anatumia gharama kubwa katika kusafirisha mzigoiki ufike kwa wakati/kabla ya wakati lakini inachukua takribani wiki nzima hadi wiki na nusu kwa mzigo kukabidhiwa kwa mpokeaji!
DHL badilikeni!
Hawa DHL Tanzania naona wamelewa monopoly. Mara 2 wameniambia niufuate mzigo wangu ofisini kwao badala ya kuuleta kama address ilivyoeekeza, na kuna siku niliwapigia mpokeaji akauliza iwapo nitalipa gharama za delivery? wapuuzi sana siju kama HQ wao wanayajua haya na akitokea mbadala tutawakimbia.
Hamieni fedex
Kuna jamaa yangu yamemkuta haya haya, Wajinga hawa jamaa yangu bado anadai kamzigo kake wiki ya pili hii wanamzingua, angali hii tracking! Wakati mwingine hata ofisi za serikali wana nafuu kuliko upuuzi huu.
Habari wakuu.
Kuna suala ambalo nimekuwa nikili_experience hivi karibuni, na si peke yangu ila pamoja na baadhi ya wadau/watumiaji wa Courrier agency kama DHL...ofisi nyingi hasa Dar, na Mwanza.
Ucheleweshwaji wa parcels/packages na majibu mabaya ya watumishi/wafanyakazi wa agency hiyo. Ikumbukwe kwamba mtu anatumia gharama kubwa katika kusafirisha mzigoiki ufike kwa wakati/kabla ya wakati lakini inachukua takribani wiki nzima hadi wiki na nusu kwa mzigo kukabidhiwa kwa mpokeaji!
DHL badilikeni!
cha kushangaza DHL nje ya TANZANIA Ni wzuri sana,inakuwaje tatizo liwe hapa Tanzania pekee? nafurahia sana huduma za EMS nje ya TANZANIA lakini ianpofika unataka kitu kiende Tanzania ndipo utakapo ona ubaya wa hizi delivery company,lakini kuna wakati niliwatumia DHL walikuwa hawana shida na mambo yao ni haraka haraka sana sielewi nini kimewakuta kwa sasa.
natamani sana kuona makampuni ya kichina kama YTO,YUNDA,ZTO,BEST,SFs zikipiga kambi Tanzania,labda tunaweza pata ushindani utakaowafanya wabadilike
Wakuu mi na mpango wa kuanzisha kampuni ya usafirishaji vifurushi kwa hpa hpa Tanzania yaan dar na mikoani naombeni mawazo yenu,!!
Nilikuwa na mzigo pale DHL lakini tumefuatilia mpaka tumeona bora tuuache wachukue wao. Je kuna wadau wengine mmekutana na usumbufu mkubwa namna hii pale DHL Dar?
Mkuu HQ wanajua sana tu kuhusu hili, binafsi nimeshajaribu kuandika comments, kutoa complaints hapo hapo HQ lakini niliambiwa nifate mzigo wangu..tena nilijibiwa kwa dharau, nikaona isiwe shida since mzigo wa muhimu..ila wanachokifanya kinawashushia sana heshima na kujenga chuki.
daaah, wakuu nashukuru kwa michango yenu lkn tayari mshanipasua kichwa! nimeagiza gari 2, 1 kwa kutumia BEFOWARD na ingine kwa kutumia ENHANCE-AUTO, wote hao wamenambia nisubiri DOCUMENTS kupitia DHL, sasa haya madongo ya leo, hata hamu sina!