Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,306
- 11,687
how come campuni world wide ipate shida? unajua DHL ni ya wapi?Waliozoea vya kunyonga kwa utawala huu wanapata shida sana
mkuu unapoteza mda wako kuwajibu watu design hio walioshikiwa akilhow come campuni world wide ipate shida? unajua DHL ni ya wapi?
em fikirisha akilii yako kidogo watao pata shida ni dhl au watanzania wenzako na nchi yako kwa kupoteza chanzo cha mapato?
akazane kusoma tuu jf is too big kwakemkuu unapoteza mda wako kuwajibi watu design hio walioshikiwa akili
Watanzania wapate shida kwa kukosa kodi kiasi gani??ilikuwa inaingiza mapato kiasi gani??how come campuni world wide ipate shida? unajua DHL ni ya wapi?
em fikirisha akilii yako kidogo watao pata shida ni dhl au watanzania wenzako na nchi yako kwa kupoteza chanzo cha mapato?
Web ya DHL haina hili Tangazo ...sijui ni DHL ya Manzese?Wacha tuendelee tu kuisoma namba
kumbuka tuu af10 ukitoa 90 haiwi tena af10Watanzania wapate shida kwa kukosa kodi kiasi gani??ilikuwa inaingiza mapato kiasi gani??
by the way ineondoka na kuhamishia shughuli zake kwa mwingine kwa hiyo hoja yako ni ya kukurupuka .
wasomi wa Kata mna shida sana!na akili zenu za MIGA!!
how come campuni world wide ipate shida? unajua DHL ni ya wapi?
em fikirisha akilii yako kidogo watao pata shida ni dhl au watanzania wenzako na nchi yako kwa kupoteza chanzo cha mapato?
Niliacha kuagiza vitu toka nje kwakupitia DHL Kodi huwa inaongezwa wanavyo taka wao ''Hawafuati parcel invoice''how come campuni world wide ipate shida? unajua DHL ni ya wapi?
em fikirisha akilii yako kidogo watao pata shida ni dhl au watanzania wenzako na nchi yako kwa kupoteza chanzo cha mapato?
watanzania wengi wanaitegemea DHL kuliko unavo fikiria serkal tuu yenyewe wanaitumia ingawa kutuma barua kutoka tabora to dar tuu ni af25 ila sjui asaiv ni bei ganNiliacha kuagiza vitu toka nje kwakupitia DHL Kodi huwa inaongezwa wanavyo taka wao ''Hawafuati parcel invoice''
Nimeuliza walikuwa wanalipa kiasi gani ?hujawa na jibu....sasa nikikuuliza walikuwa wanatupotezea kiasi gani ungesemaje?kumbuka tuu af10 ukitoa 90 haiwi tena af10
wafanya kazi wao walkua wanalipa kodi ujue jinga lao