DHL is shutting down Tanzania operations

DHL is shutting down Tanzania operations

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,162
Reaction score
11,229
DHL is shutting down Tanzania operations.

We take this opportunity to thank you and the entire team for your continued support and wish to update you on the coming changes in our Tanzania Operations to facilitate our service quality and excellence.

Find attached letter introducing our nominated agent Freight Forwarders Tanzania Limited. DHL Logistics Tanzania is closing operations in Tanzania from end of this month and all the activities will be transferred to Freight Forwarders (T) Limited.

Kindly acknowledge this as an official email, Refer attached Letters.

Regards,

Daudi Lupemba
Customer Service Officer
Tanzania

DHL Logistics Tanzania Ltd
Plot No 2A EP LOT 20 , Nyerere Road
P.O Box 6381
Dar es Salaam
TANZANIA
 
mkuu unapoteza mda wako kuwajibi watu design hio walioshikiwa akili
akazane kusoma tuu jf is too big kwake
akisha balehe ndo aje jf

Screenshot_20170706-174227.png
 
Doooo mito inazid kukauka tuu kila kukicha.. Hapa kazi tuu.. naona Tanzania mpya hiyoo ya viwanda..
 
how come campuni world wide ipate shida? unajua DHL ni ya wapi?
em fikirisha akilii yako kidogo watao pata shida ni dhl au watanzania wenzako na nchi yako kwa kupoteza chanzo cha mapato?
Watanzania wapate shida kwa kukosa kodi kiasi gani??ilikuwa inaingiza mapato kiasi gani??

by the way ineondoka na kuhamishia shughuli zake kwa mwingine kwa hiyo hoja yako ni ya kukurupuka .

wasomi wa Kata mna shida sana!na akili zenu za MIGA!!
 
hatari sana.

ila wenyewe wanatuambia uchumi wa nchi unakua.
 
Watanzania wapate shida kwa kukosa kodi kiasi gani??ilikuwa inaingiza mapato kiasi gani??

by the way ineondoka na kuhamishia shughuli zake kwa mwingine kwa hiyo hoja yako ni ya kukurupuka .

wasomi wa Kata mna shida sana!na akili zenu za MIGA!!
kumbuka tuu af10 ukitoa 90 haiwi tena af10
wafanya kazi wao walkua wanalipa kodi ujue jinga lao
 
UPS, FeDex, na lile shirika la wazawa nimelisahau jina ni wakati wao wa kuchapa Kazi sasa
 
how come campuni world wide ipate shida? unajua DHL ni ya wapi?
em fikirisha akilii yako kidogo watao pata shida ni dhl au watanzania wenzako na nchi yako kwa kupoteza chanzo cha mapato?
how come campuni world wide ipate shida? unajua DHL ni ya wapi?
em fikirisha akilii yako kidogo watao pata shida ni dhl au watanzania wenzako na nchi yako kwa kupoteza chanzo cha mapato?
Niliacha kuagiza vitu toka nje kwakupitia DHL Kodi huwa inaongezwa wanavyo taka wao ''Hawafuati parcel invoice''
 
Niliacha kuagiza vitu toka nje kwakupitia DHL Kodi huwa inaongezwa wanavyo taka wao ''Hawafuati parcel invoice''
watanzania wengi wanaitegemea DHL kuliko unavo fikiria serkal tuu yenyewe wanaitumia ingawa kutuma barua kutoka tabora to dar tuu ni af25 ila sjui asaiv ni bei gan
lkn watu tulkua tunapishana ofcn kwao
 
kumbuka tuu af10 ukitoa 90 haiwi tena af10
wafanya kazi wao walkua wanalipa kodi ujue jinga lao
Nimeuliza walikuwa wanalipa kiasi gani ?hujawa na jibu....sasa nikikuuliza walikuwa wanatupotezea kiasi gani ungesemaje?

what if you lose 10 to gain 20?
 
Back
Top Bottom