Dhiki ya wananchi ni miradi yao, ona hii! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dhiki ya wananchi ni miradi yao, ona hii!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crucifix, Mar 1, 2011.

 1. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Tarehe 15 Februari, 2011, Baraza la Mawaziri lilijadili na kuidhinisha mpango wa dharura wa TANESCO wa kukodi mitambo ya kuzalisha MW 260 za umeme. Baraza limeitaka Bodi na Menejimenti ya TANESCO kuhakikisha kuwa mchakato huo unakamilika mapema iwezekanavyo ili kupunguza makali na athari za ukosefu mkubwa wa umeme kwa jamii na uchumi wa nchi. Aidha, imesisitizwa kuwa pamoja na udharura uliokuwepo sheria na taratibu za manunuzi ya umma vizingatiwe. Pia, wahakikishe kuwa mkataba wataoingia uwe ni wenye maslahi kwa taifa. Vile vile, watoa huduma wawe ni makampuni yanayofahamika na yenye sifa stahiki na kuaminika - KIKWETE, LEO
   
 2. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  yaleyaleeeeeeeee mie simo yangu macho tu kwa maana akigeuza kisogo tu na wao wanapanga jinsi ya kufisadi huo mradi
   
Loading...