Dhihaka na dharau kwa viongozi wa dini na anguko la Serikali ya Awamu ya 5

How do you know he is in hell ? Do you know what he said to his God before he died,what if he repent his sins? You will be surprised to find him in heaven mark my words
jifariji. alikwambia nani Mungu anachukua watu waovu? alikwambia nani mtu anatubu siku ya kufa na kusamehewa? Tubu ukiwa hai sio siku ya kufa.
 
Jiwe hana akili. Alitaka kuonekana Hero dhidi ya Maaskofu pale St Peters baada ya Niwemugizi Kutangaza orodha ya watawa waliokufa kwa corona ndani ya muda mfupi. Alidhani na wao wamekurupuka kama yeye
Aliyetangaza mapadre na watawa kufariki kwa changamoto ya upumuaji ni padre Dr Charles Kitima, Katibu mkuu Wa baraza la maaskofu (TEC) na sio mhashamu Severinus NiweMugizi, askofu wa rulenge-Ngara.
 
Aliyetangaza mapadre na watawa kufariki kwa changamoto ya upumuaji ni padre Dr Charles Kitima, Katibu mkuu Wa baraza la maaskofu (TEC) na sio mhashamu Severinus NiweMugizi, askofu wa rulenge-Ngara.
Asante kwa masahihisho
 
sikuizi simsikii huyu askofu au maharamia wamekwisha Tz,
 
Meko amepata alichokuwa anatafuta, mwanaharamu achomwe huko jahanamu mpaka awe makaa ibilisi mkubwa kabisa yeye! Alikuwa analipeleka taifa kuzimu na watu wake wakina sabaya, bashiru, polepole, musiba na wengineo! To hell with him, fu©k him!
😁😁😁
 
Back
Top Bottom